Dodoma FM
Dodoma FM
12 April 2023, 5:37 pm
Katika Mkutano huo wa Baraza la Wafanyakazi, wajumbe watapitia na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo mwelekeo wa sekta ya afya hususani suala la ubora wa huduma. Na Pius Jayunga. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu mapema leo amefungua Mkutano wa Baraza…
12 April 2023, 4:46 pm
Mradi wa maji kata ya Ibihwa unatekelezwa na Serikali ya Tanzania kupitia RUWASA wilaya ya Bahi na kusimamiwa na kampuni ya Prest Water and Civil works. Na Bernad Magawa Mradi mkubwa wa maji unaojengwa katika kijiji cha Ibihwa unatajiwa kuanza…
11 April 2023, 5:17 pm
Afisa Tabibu Glory Martin kutoka zahanati ya makole leo akiendelea kuzungumzia makundi hayo. Na Yussuph Hassan. PrEP ni matumizi ya dawa za kupunguza makali ya VVU kwa watu wasio na VVU, ili kuzuia upatikanaji wa maambukizi ya VVU, dawa kinga…
11 April 2023, 4:40 pm
Uwele ni zao ambalo hustawi katika mazingiŕa magumu na kame lakini Msimu huu imekuwa tofauti uzalishaji wake unatajwa huenda ukawa hafifu. Na Mindi Joseph. Wakulima katika kijiji cha Makag’wa Mkoani Dodoma wamesema Kupungua kwa viwango vya mvua msimu huu wasiwasi…
11 April 2023, 3:57 pm
Mifugo inapopitishwa kwenye barabara inaharibu miundombinu ya barabara na kusababisha hasara kubwa kwa serikali pamoja na wananchi wanaoishi katika maeneo husika. Na Bernad Magawa. Wito umetolewa kwa wafugaji na wafanyabiashara wa mifugo wilayani Bahi kulinda na kuheshimu miundombinu ya barabara…
11 April 2023, 1:34 pm
Wananchi wengi wamekuwa wakijiingiza kwenye mikopo ambayo baadae huwa changamoto kwao. Na Leonard Mwacha. Jamii imepaswa kuepuka mikopo ambayo hugeuka kuwa changamoto kwao badala yake wafuate utaratibu wa kifedha ili kuweza kukopa kwa malengo.
11 April 2023, 1:00 pm
Na Fred Cheti. Serikali hivi karibuni ilipiga marufuku matumizi yasiyo sahihi ya mifuko laini ya plastiki kutumika kama vibebeo vya bidhaa huku jambo hilo likitajwa kuwa ni ukiukwaji wa sheria ambapo imeahidi kuwachukulia hatua wanaofanya hivyo Baada ya tamko hilo…
10 April 2023, 3:19 pm
Mara kadhaa kumekuwepo na baadhi ya vijana ambao wamekuwa wakihinda vijiweni pasipo kuwa na ajira huku wengi wao wakisema kuwa mitaji ni miongoni mwa changamoto zinazopelekea kushindwa kujiajiri. Na Thadei Tesha. Vijana wametakiwa kutumia vyema nafasi waliyonayo katika kuwekeza kidogo…
10 April 2023, 1:20 pm
Inaelezwa kuwa dawa hizi za PrEP na PEP kama zitatumika kwa usahihi zinaweza kuzuia maambukizi ya VVU. Na Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa matumizi ya sahihi ya dawa kinga za PrEP na PEP, ni moja wapo kati ya njia salama ya…
10 April 2023, 12:53 pm
Duwasa imeendelea kuhimiza utunzaji wa miundombinu ya maji safi iliyopo katika maeneo yao ili iweze kudumu kwa muda mrefu. Na Miandi Joseph. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) imesema kukatika mara kwa mara kwa huduka ya umeme…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-