Recent posts
25 April 2023, 17:53
Wakazi wa Chamwino watakiwa kutunza miundombinu ya maji
Itakumbukwa kuwa Mwaka 2020 jiwe la msingi la Mradi huo liliwekwa ikiwa ni ishara ya kuanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa tenki la maji Buigiri ambapo April 25 Mwaka huu . Na Seleman Kodima. Ikiwa leo ni maadhimisho ya…
25 April 2023, 16:58
Dalili za ugonjwa wa Surua
Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote, husababishwa na virusi vinavyosambazwa kwa matone madogo hewani baada ya mtu mwenye surua kukohoa au kupiga chafya. NaYussuph Hassan. Surua ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ambapo inaelezwa kuwa dalili zake zinaweza…
25 April 2023, 14:23
Wafanyabishara walia na bei ya viazi mbatata
Kwa sasa wastani wa bei ya viazi mbatata ni kati ya shilingi 90000 kutoka wastani wa shilingi 60000-70000 kwa gunia. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara katika soko kuu la majengo jijini Dodoma wameelezea namna wanavyoathirika kutokana na kupanda kwa…
25 April 2023, 13:36
Mzogole waishukuru Serikali kwa kuanza ujenzi wa daraja
Ujenzi wa daraja hilo unafuatia baada ya kujengewa shule kubwa ya Sekondari iliyopo makao makuu ya kata, adha zilizowasumbua wananchi hao tangu kupatikana kwa uhuru wa nchi. Na Bernad Magawa. Wananchi wa kijiji cha Mzogole kata ya Mpinga wilayani Bahi…
25 April 2023, 12:43
Wahitimu wa mafunzo SIDO watakiwa kuzalisha bidhaa bora
Awali kulitanguliwa na mafunzo y utengenezaji Sabuni na Batiki kama anavyobainisha Mkufunzi wa mafunzo hayo. Na Alfred Bulahya. Zaidi ya wahitimu 350 wa mafunzo ya usindikaji wa Vyakula na matunda wamehitimu mafunzo hayo yanayotolewa na shirika la kuhudumia viwanda vidogo…
24 April 2023, 16:28
Watu wenye ulemavu wametakiwa kuchangamkia fursa
Kwa Sasa serikali imekuwa ikitoa fursa nyingi ambazo watu wenye ulemavu wanahaki ya kushiriki na kuwataka kuchangamkia kila fursa inayotolewa ikiwemo mikopo ya asilimia 10 ya halamshauri ambayo kundi hilo litapata asilimia 2 . Na Fred Cheti. Wito umetolewa kwa…
24 April 2023, 16:04
Wananchi watakiwa kutambua kilimo cha umwagiliaji ni cha uhakika
Dodoma ni miongoni mwa mikoa iliyo na hali ya ukame na Hupata wastani hali inayopelekea kulima mazao yanayostahili ukame kama vile uwele, mtama, mahindi, karanga, alizeti, ufuta na zabibu. Na Mindi Joseph. Wananchi Kata ya Babayu wamehimizwa kujikita katika kilimo…
24 April 2023, 14:56
Wananchi Bahi watarajia kuchangia Zaidi ya madawati 10,000
Pamoja na wilaya ya Bahi kuwa na mafanikio makubwa kitaaluma katika mkoa na taifa, tatizo la kukosekana kwa madawati lisipodhibitiwa linaweza kuwa chanzo cha kupotea kwa mafanikio hayo. Na. Bernad Magawa. Wananchi wilayani Bahi wanatarajia kuchangia zaidi ya Madawati elfu…
24 April 2023, 14:26
Wananchi waomba kupatiwa elimu ya uwekezaji
Mara kadhaa vijana wamekuwa wakilalamikia kukosa fursa za kujikwamua kiuchumi ambapo moja ya changamoto kubwa ni ukosefu wa elimu juu ya kuzitambua fursa hizo. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wananchi jijini Dodoma wameiomba serikali kutoa elimu zaidi kwa wananchi juu…
24 April 2023, 13:49
Ufahamu ugonjwa wa surua na maambukizi yake
Ugonjwa huu husababishwa na virusi vinavyosambazwa kwa matone madogo hewani baada ya mtu mwenye surua kukohoa au kupiga chafya. Na Yussuph Hassan. Surua ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote. Mratibu wa Huduma…