Recent posts
23 May 2023, 15:52
Miaka 65 ya ndoa: Wafariki na kuzikwa siku moja
Tukio hilo la aina yake limewatafakarisha watu wengi maeneo hayo huku wengine wakidai ni msiba wa aina yake ambao umevuta hisia za watu wengi na kuweka historia kwa waombolezaji waliofika msibani hapo. Na. Bernad Magawa . Katika hali ambayo si…
23 May 2023, 15:09
Kamati ya kutathmini hali ya uchumi katika vyombo vya habari yaongezewa miezi 6
Kamati hiyo iliyoundwa na Waziri Nape tarehe 24 Januari 2023 sasa itafanya kazi hadi mwezi Novembar 2023 na kuleta mapendekezo ya kushughulikia suala la uchumi kwenye vyombo vya habari. Na Mindi Joseph. Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari…
22 May 2023, 17:53
Mtembezi Marathon kutangaza utalii wa ndani
Akizungumza baada ya kikao hicho mkuu wa wilaya ya Dodoma Mh Jabiri Shekimweri amefafanua malengo ya mbio hizo. Na Alfred Bulahya. Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Dodoma, Mtembezi Adventures, Pamoja na Dodoma Media Group imeandaa mbio maalum (Mtembezi Marathoni)…
22 May 2023, 16:41
DC Kongwa: Ni haki ya wananchi kujua mapato na matumizi
Wananchi wametakiwa kuhoji jambo lolote kwa viongozi wao ambalo hawalielewi ili waweze kupatiwa ufumbuzi. Na Bernadetha Mwakilabi. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Kongwa Dkt. Omary Nkullo amewataka wananchi, wenyeviti wa vijiji na vitongoji kuhakikisha wanahudhuria mikutano ya baraza la…
22 May 2023, 16:21
Fahamu jinsi maziko ya watu wa kale yalivyofanyika
Chifu Chihoma alipata wasaa wa kutuelezea kuhusu uzikaji wa watu wa kale ulivyo kuwa unafanyika. Na Mariam Kasawa. Mtazamaji wa Fahari ya Dodoma bado tunaendelea kukujuza mambo mbalimbali hususani historia za kale lengo letu likiwa ni kukuonesha fahari zilizopo hapa…
22 May 2023, 15:44
Matambiko na siri ya maji ya kisima cha Bwibwi
Nilimuuliza chifu je kisima hiki cha Bwibwi huwa na maji katika misimu yote au wakati wa kiangazi hukauka ? Na Mariam Kasawa. Mtazamaji wa fahari tunaenedelea kusikiliza historia ya kisima hiki cha Bwibwi kisima ambacho hadi leo bado baadhi ya…
19 May 2023, 19:36
Wananchi watakiwa kutumia mabwawa yanayojengwa kujikita katika kilimo cha umwagi…
Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma imefanyika wilayani Bahi lengo likiwa ni kutembelea miradi mbalimbali wilayani humo ikiwemo ujenzi wa shule ya msingi Ngondo, nyumba ya mwalimu na mradi wa umwagiliaji Kongogo. Na Mariam Kasawa. Wananchi wametakiwa kutumia vizuri…
19 May 2023, 18:42
Chamwino watakiwa kukamilisha miradi kwa wakati
Katika ziara hiyo ya kikazi katibu Tawala amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Wilaya ya Chamwino, Zahanati ya Kijiji Cha Wilunze na Mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya maabara ya kemia na baiolojia katika Shule ya…
19 May 2023, 18:15
Fahamu historia ya kisima cha Bwibwi kilichomeza watu 29
Imani ya watu dhidi ya maji ya kisima hiki ni kubwa, chifu anatueleza na kutuonesha mfano wa kunywa maji haya. Na Mariam Kasawa. Bado tunaendelea kukujuza mambo mbalimbali ya kale, historia za kale zinazopatikana mkoani Dodoma kupitia fahari ya Dodoma.…
19 May 2023, 16:38
Asilimia 92 ya watumiaji wa mahakama nchini waridhishwa na huduma
Wafanyakazi wa mahakama wamejipambanua kwa kufanikisha na kusongeza huduma za utoaji haki karibu na wananchi. Na Mindi Joseph. Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma amesema Asilimia 92 ya watumiaji wa mahakama wameridhishwa na utoaji wa huduma kutoka kwa majaji…