Recent posts
22 February 2023, 13:00
Zifahamu siri za fimbo za kitemi
Simulizi hii inatufafanulia masuala ya fimbo zilizokuwa zikimilikiwa na watemi wa kabila la wagogo na majaabu ya fimbo hizo. Na Yusuph Hassan. Chifu Lazaro Masuma Chihoma kutoka katika kata ya Iyumbu himaya ya Bwibwi jijini Dodoma amesimulia simulizi hiyo ya…
21 February 2023, 15:32
Wanufaika wa mpango wa TASAF Bahi wameishukuru serikali
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka mpango maalumu wa kusaidia kaya masikini ambao utaleta ahueni. Na Bernad Magawa. Wanufaika wa mpango wa TASAF katika kijiji cha Bahi Sokoni wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma wameishukuru serikali ya Jamhuri ya…
21 February 2023, 14:25
Kuibuka kwa wimbi kubwa la matapeli kwa njia ya mitandao ya simu
Kuibuka kwa wimbi kubwa la matapeli kwa njia ya mitandao ya simu ,imetajwa kusababisha baadhi ya watu kupoteza fedha na mali kwa watu wasiojulikana. Na Victor Chigwada. Hayo yamefahamika baada ya Taswira ya Habari kuzungumza na Baadhi ya wananchi wa…
21 February 2023, 13:23
Uongozi umetoa pongezi na shukrani kwa shirika lisilo la kiserikali
Shirika lisilo la kiserika la Innovation of Africa limepongezwa na Uongozi wa kata ya Chiboli kwa juhudi zake wanazozifanya za kutatua changamoto. Na Victor Chigwada. Uongozi wa kata ya Chiboli umetoa pongezi na shukrani kwa shirika lisilo la kiserika la…
21 February 2023, 12:31
Ubadilishaji wa miundombinu ya maji taka umefikia asilimia 80
Ubadilishaji wa miundombinu ya maji taka katika Eneo la Area C na D Mkoani Dodoma umefikia asilimia 80. Na Mindi Joseph. Ubadilishaji wa miundombinu ya maji taka katika Eneo la Area C na D Mkoani Dodoma umefikia asilimia 80, hizi…
21 February 2023, 12:17
Waiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kujengewa daraja
Wakazi wa kata ya Dabalo wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wameiomba serikali kuchukua hatua za haraka kuwajengea daraja linalounganisha baadhi ya vijijini katika kata hiyo. Na Fred Cheti. Wakazi wa kata ya Dabalo wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wameiomba serikali kuchukua hatua…
20 February 2023, 18:09
Madereva kirikuu walalamika kutozwa faini mara kwa mara
Gari ndogo aina ya kirikuu zimekuwa zikifanya shughuli zao katika maeneo mbalimbali jijini hapa ambapo shughuli hiyo imekuwa ikiwasaidia kwa kiasi kikubwa katika kupata fursa mbalimbali na kuendesha shughuli zao za kimaisha. Na Thadei Tesha. Madereva wa gari ndogo za …
20 February 2023, 18:00
Marufuku walimu wa kiume kutumika kusindikiza magari ya shule (School bus)
KATIKA kukabilina na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto nchini mkoa wa Dodoma umepiga marufuku walimu wa kiume kutumika kusindikiza magari ya shule (School bus) na kuanzia sasa wanawake pekee ndiyo watakao husika na jukumu hilo. Na Alfred Bulahya.…
20 February 2023, 16:20
Mashekhe watakiwa kufanya kazi kwa weledi
Baadhi ya mashekhe wa kata wameshindwa kuwa na fikra ya utatuzi wa baadhi ya changamoto katika jamii ikiwemo masuala ndoa, migogoro ya kifamilia na kuwa na njia ya kuhakikisha ofisi za kata zinapatikana Na Seleman Kodima. Baraza la Waislamu Tanzania(BAKWATA)…
20 February 2023, 14:08
LATRA yafafanua usafirishaji wa mizigo ya Abiria
Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri Ardhini (LATRA) imesema kwa mujibu wa kanuni ya 37 ni wajibu wa msafirishaji wa gari la abiria kumsafirishia abiria mzigo wake bure kama hauzidi kilo 20. Na Mindi Joseph. Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri Ardhini…