Dodoma FM

Recent posts

9 February 2023, 10:30

Zaidi ya wananchi 7000 watarajia kunufaika

Zaidi ya wananchi 7000 wa kijiji cha Ibihwa na Mpamantwa Wilayani Chemba wanatarajia kunufaika na huduma ya maji safi na salama pindi ujenzi wa mradi wa kisima kikubwa cha maji unaotekelezwa katika vijiji hivyo utakapokamilika. Na Fred Cheti. Hayo yameelezwa…

8 February 2023, 19:08

Huduma ya nishati ya Mafuta ya Petrol na Diesel yarejea

Ikiwa ni wiki la tatu tangu kituo cha Dodoma Fm kuripoti kuhusiana na adha ya kukosekana kwa huduma ya nishati ya Mafuta ya Petrol na Diesel kwa zaidi ya miezi mitatu katika kituo cha Princes Muro kituo pekee kinachotoa huduma…

8 February 2023, 14:42

Idara ya afya Watakiwa kutoa huduma bora kwa wananchi Kongwa

Watumishi wa idara ya Afya wilayani Kongwa wametakiwa kutoa huduma bora kwa wananchi zinazoendana na ubora wa miundombinu. Na Bernad Magawa. Donald Mejiti mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi Taifa kutoka mkoa wa Dodoma ameyasema hayo alipotembelea wilayani…

8 February 2023, 12:50

Ukosefu wa nishati ya umeme yaleta chuki kwa viongozi

Imelezwa kuwa kukosekana kwa huduma ya nishati ya umeme kwa baadhi ya vitongoji katika Kata ya Idifu imesababisha baadhi wananchi kujenga chuki kwa viongozi na kutaja kitendo cha kukosekana kwa nishati hiyo ni uzembe wa viongozi. Na Victor Chigwada. Mwenyekiti…

7 February 2023, 14:44

Muendelezo wa Simulizi Ya Utawala wa Kitemi katika Kabila La Kigogo

Muendelezo wa Simulizi hii inatuonyesha maswala mazima yanayomuhusu chifu,mavazi yake utawala na vitu mbalimbali ambavyo alikuwa akitumia Chifu wa kabila la Kigogo. Na Yussuph Hassan. Chifu Lazaro Masuma Chihoma kutoka katika kata ya Iyumbu himaya ya Bwibwi jijini Dodoma asimulia…

7 February 2023, 12:39

Wafanyabiashara walalamikia hali ya soko Ihumwa

Wafanyabiashara katika soko la ihumwa jijini dodoma wameiomba serikali kutengeneza miundombinu ya soko hilo kutokana na eneo wanalotumia kwa sasa kutokutosheleza mahitaji. Na Thadei Tesha. Ni katika soko la ihumwa jijini dodoma ambapo baadhi ya wafanyabiashara katika soko hili wanasema…

7 February 2023, 09:52

Hospitali ya Benjamini Mkapa imesaini makubaliano

Hospitali ya Benjamin Mkapa imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma za upasuaji wa moyo kwa watoto na shirika lisilo la kiserikali la children’s heart charity association la Nchini kuwait. Na Mindi Joseph. Hii ni kufuatia matatizo ya moyo kwa…

7 February 2023, 09:26

Mamlaka ya serikali mtandao eGA inatarajia kufanya kikao kazi

Mamlaka ya serikali mtandao eGA inatarajia kufanya kikao kazi cha 3 cha serikali mtandao kwa lengo la kuwakutanisha wadau mbalimbali wa serikali mtandao ili kujadiliana juu ya mafanikio, changamoto. Na Alfred Bulahya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Mkurugenzi…

6 February 2023, 17:33

Shule ya Msingi Idifu yashindwa kuhimili wingi wa wanafunzi

Walipokea ahadi kupitia mfuko wa jamii TASAF lakini kutokana na kukosekana kwa utekelezaji imechangia kuwavunja moyo wananchi katika eneo hilo. Na Victor Chigwana Uchakavu na uchache wa madarasa katika shule ya Msingi Idifu  imetajwa kushindwa kuendana na Idadi ya wanafunzi…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger