Recent posts
5 March 2025, 13:00
Tanzania yashiriki mkutano wa dunia wa mawasiliano ya simu
Wakati huo huo, Waziri Silaa ameshiriki Mjadala wa Kitaifa (National Dialogue Tanzania: Towards a Fully Digitalized Economy) katika kikao cha pembeni na Kampuni ya Watoa Huduma za Mawasiliano Duniani (GSMA) ambao ni waandaji wakuu wa mkutano wa MWC 2025. Na…
5 March 2025, 12:40
Wananchi Kiteto wafanya maombi ya kuomba mvua
Hii hapa taarifa yake kitana hamisi kutoka Wilayani Kiteto. Na Kitana Hamis.Wananchi Wilayani Kiteto Mkoani Manyara Wamefanya Dua ya kuomba Mvua baada ya kuona Hali ya ukame inazidi huku mazao yakikauka siku hadi siku. Kitana Hamis ametuandalia taarifa kamili huu…
5 March 2025, 12:13
Msangalale walia na SGR kuharibu makazi yao
Wakazi wa maeneo hayo wamesema wamekuwa wakilalamika tangu mwaka 2019. Na Anwary Shaban.Wanachi Dodoma walia uwepo wa SGR unavyoharibu makazi yao. Wananchi wa kitongoji cha Msangalale kata ya Makulu jijini Dodoma wamelalamikia uharibifu wanaoupata kutokana na mafuriko ya maji yanayotoka…
5 March 2025, 11:38
Kamishna Mkuu TRA ahimiza ulipaji kodi wa hiari
Kaulimbiu katika Mkutano huo wa Baraza la wafanyakazi wa TRA ni “Baraza la Wafanyakazi ni chachu ya utendaji kazi wenye tija, maadili na utumishi endelevu”. Na Alfred Bulahya.Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amewataka…
4 March 2025, 12:15
Yafahamu Mazingira asili ya mkoa wa Dodoma
Licha ya Dodoma kufahamika kuwa na hali ya nusu jangwa lakini yapo mazao ambayo hulimwa wakati wa masika. Na Yussuph Hassani.Mwana fahari leo Yussu[h anasimuliza asili ya mazingira ya mkoa huu wa Dodoma katika mfululizo wa makala hii ya fahari…
4 March 2025, 12:00
VETA yawezesha wafungwa 214 kupata vyeti vya utambuzi
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ni Wakala wa Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi. Na Alfred Bulahya.Serikali kupitia mamlaka ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi VETA imewawezesha wafungwa wapatao 214…
27 February 2025, 17:36
Mwanafunzi ajinyonga baada ya kutelekezwa na wazazi wake
Mwenyekiti wa mtaa huo Asiya Shabani nae akaeleza namna kuhusu Tukio hili lilivyo tokea . Na Kitana Hamis.Mwanafunzi wa Darasa la Pili aliye julikana kwa Jina la Musa Juma mwenye Umri wa miaka Kumi (10) Mkazi wa Bwawani Wilayani Kiteto…
27 February 2025, 13:54
Chikopelo kijiji cha ujamaa kilichopitiwa na Bonde la ufa
Kijiji hiki cha ujamaa kilitengwa tangu mwaka 1972. Na Yussuph Hassan. Leo mwana fahari Yussuph Hassani anazungumza na diwani wa kata ya Chali ambae anaelezea kuhusu wenyeji wa kijiji hicho na shughuli zinazo fanyika kijijini hapo,
27 February 2025, 13:41
Kifahamu kijiji cha Chikopelo kilichopitiwa na bonde la ufa
Wakazi wa kijiji hiki wengi wanajihusisha na kilimo . Na Yussuph Hassan. Karibu kwenye mfululizo wa makala hii ya Fahari ya Dodoma kuufahamu uzuri wa mkoa wa Dodoma ambapo leo tunakitazama kijiji cha Chikopelo kinachopatikana katika kata ya Chali wilayani…
27 February 2025, 13:26
JKCI yasema takriban wagonjwa 2,784 wafanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo
Amesema katika wagonjwa hao watu wazima walikuwa 1,880 na watoto 904. Na Alfred Bulahya. Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete JKCI imefanikiwa kufanya upasuaji mkubwa wa moyo kwa wagonjwa 2,784 wakifanyiwa upasuaji wa mishipa ya damu na mapafu. Hayo yameelezwa…