Recent posts
7 January 2025, 16:48
Wananchi Ihumwa watakiwa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi
Na Victor Chigwada.Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Kamishina msaidizi mwandamizi George Katabazi ametoa wito kwa wananchi wa Kata ya Ihumwa kuonyesha ushrikiano kwa jeshi la polisi kwa kutoa taarifa za wahalifuWito huo ameutoa wakati akizungumza na wananchi wa Kata…
7 January 2025, 16:15
Ujenzi wa miundombinu Kiteto kufungua uchumi wa wilaya hiyo
Elimu ya mara kwa mara kwa wananchi wa Kiteto ili kuitunza miundombinu hiyo ambayo Serikali imetoa fedha nyingi kuijenga ili iweze kudumu kwa manufaa yao. Na Selelman Kodima.Wananchi Wilayani Kiteto mkoani Manyara wameishukuru Serikali kwa kuwapelekea mradi wa ujenzi wa…
6 January 2025, 13:30
Wananchi wanajikingaje na ajali za barabarani?
Ajali za barabarani kuanzia Januari hadi Desemba mwaka 2024 zilikuwa 1,735, huku ajali 1,198 zilisababisha vifo vya watu 1,715. Na Lilian Leopord.Kuzingatia alama za Barababani na uendeshaji salama ni miongoni mwa tahadhari zinazochukuliwa na baadhi ya madereva wa vyombo vya…
3 January 2025, 15:48
Fahamu umuhimu wa miti katika mazingira
Miti ina faida nyingi katika mazingira na maisha ya binadamu. Na Yussuph Hassan.Mwandishi wetu Yussuph Hassan anatufahamisha kuhusu bustani inayosimamiwa na halmashauri ya jiji la Dodoma inayopatikana eneo la Wajenzi jijini Hapa.
3 January 2025, 15:24
Chikopelo watakiwa kutumia mvua za masika kuzalisha mazao mbalimbali
Kijiji cha Chikopelo ni miongoni mwa kijiji kinachopatikana katika Kata ya Chali, ambapo ni miongoni mwa vijiji vilivyotengwa mwaka 1972 kuwa miongoni mwa Kijiji cha Ujamaa. Asili ya wananchi wa Kijiji hicho ni Wagogo. Na Lilian Leopord.Wananchi wa Kijiji cha…
3 January 2025, 14:33
Jafo aanika mafanikio ya Kisarawe
Moja ya mafanikio ni ujenzi wa shule nane za sekondari mpya na kuweka miundombinu mipya katika sekondari zote za zamani. Na Seleman Kodima.Mbunge wa Kisarawe ambaye ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo ameelezea mafanikio mbalimbali yaliyopatikana…
3 January 2025, 14:13
Toto afya kadi kulenga hata mtoto asiyesoma
Na Seleman Kodima.Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF ofisi ya Dodoma umesema kipengele kipya cha toto afya kadi kitalenga hata mtoto asiyesoma shule hali itakayomwezesha kusajiliwa katika mfumo. Hayo yamesemwa na Meneja wa NHIF Dodoma Fidelis Shauritanga wakati…
2 January 2025, 18:11
Muungano waiomba RUWASA kushughulikia changamoto ya kuharibika kwa miundombinu y…
Hili linajiri baada ya hivi karibuni wakala wa usambazaji maji vijijini RUWASA kuiondoa kamata ya maji kijijini hapo. Na Victor Chigwada.Kuharibika kwa miundombinu ya maji katika kijiji cha muungano wilayani Chamwino umesababisha wananchi kijiji hicho kuomba kwa mamlaka ya maji…
2 January 2025, 17:56
Kidoka waomba serikali kuingilia kati ujenzi wa sekondari
Wakazi wa kijiji hicho wameendelea kuiomba serikali kuingilia kati suala hilo la ujenzi wa sekondari kijijini hapo kwani ni la muda mrefu. Na Mariam Kasawa.Wakazi wa Kijiji cha Pangalua kata ya Kidoka wilayani Chemba walalamikia ucheleweshaji wa ujenzi wa Sekondari…
2 January 2025, 17:39
Jamii yatakiwa kuwa na desturi ya kuwatembelea wagonjwa
Wadau mbalimbali wameombwa kufika katika hospitali mbalimbali ili kujua changamoto zinazowakabili wagonjwa. Na Seleman Kodima.Wito umetolewa kwa jamii kuwa na desturi ya kuwatembelea wagonjwa na kuthamini jumuiya zinazojitolea kuhudumia wagonjwa katika Hospitali mbalimbali hapa nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mwakilishi…