Recent posts
3 February 2025, 12:58
Wananchi Wilayani Kiteto walia na vitendo vya ukatili waiomba serikali kuingilia…
Kukithiri kwa Vitendo hivi kumeibua ofisi ya Mashitaka nchini Dpp kuazisha Ofisi ndogo Kiteto. Na Kitana Hamis.Suala la ukatili wa kijinsia limeshika kasi katika wilaya ya Kiteto ambapo kwa mujibu wa wenyeji wa wilaya hii wanalalamika kuwa vitendo vya ukatili…
3 February 2025, 11:57
RC Manyara acharuka wilayani Kiteto matumizi ya mirungi, bangi
walifanikiwa kuwakamata wahalifu huku wakiwa na ushahidi lakini walikumbana na vitisho dhidi ya oparesheni hiyo. Na Kitana Hamis.Vita thidi ya Dawa za Kulevya Mirungi na Bangi hapa Wilayani Kiteto Mkoani Manyara inatajwa kuwa na Changamoto Kubwa na inaelezwa kuwa kila…
31 January 2025, 18:07
Vijana wenye umri mdogo wajikita kwenye mkumbo wa ulevi Dodoma
Dodoma FM imezungumza na baadhi ya vijana wanaotuhumiwa kutumia pombe hizo nao wanasema. Na Kitana Hamis.Tegemeo Kubwa la Taifa nipamoja na Nguvu Kazi ya Vijana ili kuhakikisha Taifa linazindi kwenda mbeli. Mtaa wa Msejerere kata ya Mtumba Jijini Dodoma nitofauti…
29 January 2025, 16:01
Tunawezaje kuondoa changamoto kwa msichana aliyejifungua arudi shule?
Na Seleman Kodima.Elimu ni msingi muhimu kwa maendeleo ya jamii na uchumi wa nchi yoyote. Hata hivyo, takwimu za Ofisi ya Rais Tamisemi zinaonyesha kwamba mwaka 2022, wanafunzi wa kike 66,466 wa sekondari na 81,239 wa shule za msingi waliacha…
29 January 2025, 14:45
Wakazi wa Nzelenze waililia Serikali matumizi ya maji yasiyo salama
Changamoto hiyo inawaathiri baadhi ya wananchi wa vitongoji hivyo hali inayopelekea hitaji la maji kuwa kubwa zaidi . Na Victor Chigwada.Wananchi wa kitongoji cha Nzelenze Kata ya Itiso Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuongeza visima vya maji safi na salama…
29 January 2025, 13:38
RC Kagera azindua mafunzo kwa wanahabari juu ya ugonjwa wa marburg
Upo umhimu mkubwa kwa redio jamii kushikiri kuhamasisha jamii juu ya namna na kukabiliana na ugonjwa. Na Mwandishi wetu.Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Hajjat Fatma Abubakari Mwassa, amezindua rasmi semina ya mafunzo ya siku nne kwa waandishi wa habari…
28 January 2025, 18:31
Ukosefu wa taarifa na unyanyapaa vyatajwa makabiliano afya ya akili
Lengo ni kuhakikisha Mapato yatakayopatikana yanachangia upatikanaji wa huduma hiyo. Na Seleman Kodima.Ukosefu wa taarifa sahihi ,unyanyapaa zimetajwa kuwa sababu zinazopeleka jamii kutojitokeza kushiriki afua za kukabiliana na magonywa ya changamoto za afya ya akili. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa…
27 January 2025, 18:23
TRA kuwapunguzia kodi manusura janga la moto
TRA), mkoa wa Dodoma imesema itatumia sheria zilizopo kuwapatia unafuu wa kikodi wafanyabiashara walioathirika. Na Seleman Kodima.Ikiwa siku chache zimepita tangu takribani maduka 14 yaliyopo mtaa wa Kipande katikati ya jiji la Dodoma kuteketea kwa moto, Mamlaka ya Mapato Tanzania…
27 January 2025, 16:00
Ukarabati wa barabara warahisisha mawasiliano Majeleko
Utekelezaji miradi ya kilomita ishirini na tano kwa kiwango cha changarawe imesaidia kuunganisha Vijiji hivyo. Na Victor Chigwada.Ukarabati wa miundombinu ya barabara kutoka wilunze mpaka manzilanzi na Majeleko umesaidia kuleta unafuu wa mawasiliano katika vijiji vya kata ya Majeleko. Hayo…
27 January 2025, 15:45
Wajawazito Muungano wachangia chumba kimoja na wagonjwa wa kawaida
Jengo la mama na mtoto mpaka sasa limefikia hatua ya renta ambapo kwa sasa ujenzi umesimama kutokana na kuishiwa fedha za kuendeleza. Na Seleman Kodima.Uchache wa majengo katika zahanati ya Muungano umesababisha akina mama wajawazito kutumia chumba kimoja kujifungulia. Wakizungumza…