Recent posts
30 December 2024, 14:11
Tanzania yaendelea kupiga hatua utekezaji mkakati wa Beijing
Na Mariam Matundu. Katika kuelekea miaka thelathini tangu mkutano wa Beijing kufanyika, waandishi wa habari wametakiwa kutumia kalamu zao kuonesha hatua zilizopigwa hapa nchini katika kutekeleza maazimio ya mkutano huo. Akizungumza katika warsha iliyowakutanisha wandishi wa habari kutoka maeneo mbalimbali…
23 December 2024, 17:36
Wananchi Nala, Chihoni wapatiwa elimu ya kupinga ukatili
Wazazi wanatakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuwalea watoto wao kwa kutenga muda wa kuzungumza nao na kuwajengea uwezo wa kuzungumza kipindi wakipata matatizo. Na Annuary Shaban.Wakazi wa Mtaa wa Nala, Segu Juu, Segu Chini na Chihoni, wamewezeshwa elimu ya…
23 December 2024, 17:23
Mradi wa elimu jumuishi watekelezwa katika shule 11 Dodoma
Shule zilizoongezeka katika jiji la Dodoma ni shule ya msingi mlezi,shule ya msingi kisasa,shule ya msingi Chang’ombe na shule ya msingi Chinangali. Na Mariam Matundu.Mradi wa elimu jumuishi unaotekelezwa na kanisa la Free pentecostal church FPCT mkoani Dodoma umefanikiwa kuongeza…
18 December 2024, 15:15
NHIF yarejesha toto afya kadi
Mpango wa Toto Afya Kadi utasaidia familia za wananchi hasa zile zenye watoto wenye changamoto za kiafya. Na Mariam Matundu.Waziri wa Afya Mh. Jenista Mhagama amesema kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima ya…
12 December 2024, 17:32
Mwendelezo wa historia ya Kisima cha Nyoka
Hitimisho la historia ya Kisima cha Nyoka katika mtaa wa Mazengo. Na Yussuph Hassan.Mwanandishi wetu Yussuph Hassan bado yupo mtaa wa Mazengo kata ya Chang’ombe na leo anahitimisha historia ya kisima cha nyoka.
12 December 2024, 17:12
Wanaume watakiwa kufunguka wanapofanyiwa ukatili
Kila ifikapo tarehe 10 Desemba ni Siku ya Haki za Binadamu na pia ni kilele cha siku 16 za harakati za kupinga ukatili wa kijinsia . Na Annuary Shaban.Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania na wadau wengine wamewasisitiza wanaume kujitokeza kutoa…
12 December 2024, 16:55
Kausha damu yatajwa kuumiza familia za wakopaji
Wakopaji wengi hawana elimu juu ya matumizi sahihi ya mikopo hiyo. Na mwandishi wetu.Baadhi ya wananchi Jijini Dodoma wamesema mikopo umiza maarufu kama kausha damu inalenga kusaidia mahitaji muhimu ingawa wakopaji wengi hawana elimu juu ya matumizi sahihi ya mikopo…
12 December 2024, 16:43
Unyanyapaa kikwazo cha watu kuweka wazi hali ya afya zao
Aidha ameongeza kuwa vifo vya Watoto vinavyotokana na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi mkoani Dodoma vimepungua. Hofu ya kuogopwa kutengwa katika jamii imeelezwa kuwa chanzo kikubwa kinachowafanya baadhi ya watu kushindwa kuwaweka wazi watu wao wa karibu pindi wanapokutwa na…
11 December 2024, 17:59
Wasimamizi wa uchaguzi wa Nov 27 watakiwa kutopuuzia malalamiko yaliyojitokeza
Pamoja na hayo washiriki wa kongamano hilo wamekumbushwa wajibu wao kwa wananchi na kuheshimu katiba na sheria ili kutoa huduma bora kwa watanzania. Na Yussuph Hassan.Watendaji na wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Nov 27, 2024 wametakiwa kutopuuzia…
11 December 2024, 17:28
Kituo cha wasioona Buigiri chaiomba serikali na wadau kuwakumbuka katika kilimo
Wanaeleza kuwa tangu kujengwa kwa kituo hicho zaidi ya miaka 30 hakuna msaada wa kujitosheleza unaotolewa na Serikali katika kituo hicho licha ya jamii yake kujikita katika shughuli za kilimo cha umwagiliaji. Na Victor Chigwada.Wakulima wa bustani za mbogamboga kutoka…