Recent posts
28 April 2023, 14:00
Jumuiya ya wazazi CCM Bahi yalaani ndoa za jinsia moja
Maadhimisho hayo yalianza kwa kutoa elimu ya malezi kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Bahi ambapo wanafunzi walisisitizwa kuhusu nidhamu na bidii katika masomo. Na Bernad Magawa. Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Bahi imetoa tamko la…
28 April 2023, 12:23
Afisa elimu Msingi Bahi atoa Motisha kwa walimu kata ya Bahi
Afisa Elimu katika kata hiyo ameahidi kuhakikisha ufaulu unapanda zaidi. Na Bernad Magawa. Afisa elimu Msingi wilaya ya Bahi Boniface Wilson ametoa motisha ya kilo 25 za sukari kwa kila shule kwenye kata ya Bahi yenye jumla ya shule tano…
27 April 2023, 18:54
Wakulima Kongogo waahidiwa mashine za kisasa
Na Mindi Joseph. Mbunge wa Jimbo la Bahi, Kenneth Nollo amewaahidi wakulima wa Kongogo kuwanunulia mashine za kisasa za kupandia mpunga pindi tu ujenzi wa skimu ya umwagiliaji utakapokamilika 2024. Akizungumza na Wakulima hao amesema wilaya ya bahi imekuwa ikizalisha…
27 April 2023, 18:42
Wajasiriamali waeleza kunufaika na wiki ya ubunifu
Katika maenesho hayo dodoma tv imeshuhudia bidhaa mbalimbali ambazo zimebuniwa na wajasiriamali pamoja na wanafunzi wabunifu kutoka katika tasisi mbalimbali ambapo wanatumia fursa hiyo katika kuzionyesha kwa jamii katika maonesh ya wiki ya ubunifu maarufu kama MAKISATU. Na Thadei Tesha.…
27 April 2023, 18:13
Wasimamizi ujenzi wa kituo cha Afya Nkuhungu wapewa wiki tatu kukamilisha
Kituo hicho pindi kitakapokamilika kinatarajia kuhudumia zaidi ya wananchi elfu 40 wa kata ya Nkuhungu. Na Fred Cheti. Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mh Jabir Shekimweri amewataka wasimamizi wa ujenzi wa mradi wa kituo cha afya Cha Nkuhungu ndani ya…
27 April 2023, 15:41
Yafahamu matibabu ya Ugonjwa wa surua
Mratibu wa Huduma za Chanjo Halmashauri ya Jiji la Dodoma Victor Kweka leo anazungumzia matibabu ya ugonjwa huo. Yussuph Hassan. Bado tunaendelea kufahamu kwa kina juu ya ugonjwa wa surua, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata…
26 April 2023, 17:11
Mlowa Bwawani walalamika ujenzi wa Tanki kutokamilika
Mradi huo ulitarajiwa kukamilika ndani ya Mwezi mmoja baada ya kutambulisha october 30 2022 lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea kutokana na changamoto mbalimbali. Na Mindi Joseph. Wananchi wa Kijiji Cha Mlowa Bwawani Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wamelalamikia kutokukamilika kwa…
26 April 2023, 15:54
Wakulima wa zabibu waomba elimu ya kuongeza thamani zao hilo
Zabibu huzalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo Mvinyo, Sharbati, jamu pamoja na nyingine nyingi lakini elimu ya kuongeza thamani zao hili bado ni ndogo sana kwa wakulima. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma wameiomba serikali kuendelea kutoa elimu…
26 April 2023, 15:01
Operesheni ya kukamata wezi wa vyuma yaendelea Mpwapwa
Katika oparesheni hiyo ametoa muda kwa wale wote walio uziwa vyuma hivyo bila kujua wavikabidhi kwa watendaji. Na Fred Cheti. Mkuu wa Wilaya ya Mpwampwa Mhe.Sophia Kizigo amesema wanaendelea na operesheni maalum ya kukamata watu wanaoiba vyuma vilivyofungwa kwenye minara…
26 April 2023, 13:52
Serikali yapongeza ujenzi wa shule ya sekondari lenjulu kongwa
Amewataka wakazi wa Lenjulu kutunza miundombinu na mazingira ya shule hiyo na kuhakikisha watoto wao wanakwenda shule na kusoma kwa bidii. NA Bernadetha Mwakilabi. Naibu waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Deogratias Ndejembi amepongeza uongozi wa wilaya ya…