Dodoma FM

Recent posts

2 February 2023, 2:01 pm

Changamoto ya umeme yakwamisha maendeleo kata ya Loje Chamwino

Kuanguka kwa nguzo za umeme katika baadhi ya maeneo yenye huduma ya umeme katika kata ya Loje imetajwa kusababisha kukosekana kwa kuhuduma hiyo . Na Victor Chigwada Wananchi wa kijiji cha Ingunguli Kata ya Loje Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali…

2 February 2023, 1:48 pm

Serikali yafanikiwa kupunguza maambukizi ya Malaria Jijini Dodoma

Halmashauri ya Jiji la Dodoma imefanikiwa kupunguza maambukizi ya Malaria kutoka asilimia 1.4 hadi kufikia asilimia 1.01 mwaka 2022. Na Alfred Bulahya Hayo yamebainishwa na mratibu wa malaria kutoka halmashauri ya jiji la Dodoma Bw, Gasper Kisenga wakati akizungumza na…

2 February 2023, 1:19 pm

TAKUKURU Yaendelea kupiga vita rushwa ya ngono

Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru imesema inaendelea kupiga vita rushwa ya ngono kwani inadhalilisha utu wa Mtu. Na Mindi Joseph Changamoto ya rushwa ya ngono imekuwa ikiongezeka siku hadi siku kutokana na ukimya dhidi ya vitendo hivyo…

2 February 2023, 11:15 am

Waziri Adolfu Mkenda atoa sababu za Necta kutotangaza Shule Bora

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ametoa ufafanuzi na sababu NECTA Haitangazi Shule Bora na Zile Zilizofanya Vibaya. Na Seleman Kodima. Amesema kuwa takwimu zote ambazo zinahusu kutangaza shule ipi bora zinapatikana na wala sio siri bali…

2 February 2023, 10:46 am

TARURA kutatua changamoto ya barabara Chamwino

Wakala wa barabara vijiji na mijini Tarura inatarajia kutatua changamoto ya barabara wilayani Chamwino kupitia bajeti ya mwaka 2023/2024. Na Seleman Kodima. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Chamwino imesema inatarajia kutatau changamoto ya Miundombinu ya Barabara  katika…

31 January 2023, 12:02 pm

Wananchi Bahi watakiwa kupanda miti ili kulinda vyanzo vya maji

Wananchi wilayani Bahi wametakiwa kuboresha mazingira na kutunza vyanzo vya maji kwa kuhakikisha wanapanda miti kwa wingi na kuilinda ili kutunza mazingira na vyanzo vya maji. Na Bernad Magawa Wito umetolewa kwa wananchi  Wilayani Bahi kupanda miti kwa wingi na…

31 January 2023, 12:02 pm

Balozi afafanua juu ya Miundombinu ya Maji taka

Balozi wa mtaa wa Bahiroad mariamu omary amelazimika kutoa ufafanuzi juu ya miundombinu ya maji taka. Na Leonard Mwacha Alitoa ufafanuzi huo juu ya shutuma zinazoelekezwa kwa wenye nyumba juu ya kuhusika na uharibifu wa miundombinu ya maji taka. Kwa…

30 January 2023, 9:28 am

Igunguli waomba msaada ujenzi wa Zahanati

Na; Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Igunguli Kata ya Loje Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwaunga mkono  na kuwasaidia kukamilisha ujenzi wa zahanati Wakizungumza na taswira ya habari wamesema  kukosekana kwa huduma ya afya kijiji hapo inasababisha wananchi kwenda…

30 January 2023, 9:02 am

Wakulima Kongwa kupambana na wadudu

Na; Mariam Kasawa. Wakulima katika wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma wametakiwa kuchukua hatua mapema za kupambana na wadudu waharibifu wa mazao. Akiongea na taswira ya habari Afisa kilimo wilaya ya Kongwa Bwana Jackson shida anasema….. Pia Shija amewataka wakulima kuchukua…

28 January 2023, 9:46 am

Umuhimu Wa Elimu Ya Chanjo Ya Uviko 19

Na; Mariamu Matundu.Imeelezwa kuwa bado chanjo ya uviko 19 inaendelea kutolewa katika vituo vya kutolea huduma za afya kote nchini na hivyo wananchi wametakiwa kwenda kupata elimu ya umuhimu wa chanjo hiyo na kuchukua maamuzi ya kuchanja.Mariam matundu amefanya mazungumzo…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger