Recent posts
6 December 2024, 11:26
Mhandisi mradi wa Tactic atakiwa kukamilisha kazi kwa wakati
Maandalizi ya utekelezaji wa mradi huu yamegawanywa katika makundi matatu kwa kuzingatia awamu za mgao wa fedha kutoka kwa mfadhili (Benki ya Dunia). Na Annuary Shaban.Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Alhaj Jabir Shekimweli amemtaka mhandishi wa mradi wa tactic kuhakiksha…
4 December 2024, 12:45
Elimu, dini jinsia na ulemavu visababishi ubaguzi katika familia
Wazazi na walezi wameombwa kutokuwabagua watoto wao katika familia ili kuweka usawa. Na Lilian Leopord. Elimu, jinsia, dini na ulemavu vimetajwa kuwa visababishi vinavyochochea watoto kubaguliwa kwenye familia. Akizungumza na Dodoma Tv Afisa Mradi kutoka Action for Community Care Michael…
4 December 2024, 12:29
Imani za kishirikina zatajwa kuchangia ukatili dhidi ya Watoto
Kwa Mujibu wa Ofisi ya Maendeleo ya Jamii mwaka 2024 pekee, kwa kipindi cha kuanzaia mwezi wa kwanza hadi mwezi wa nane matukio ya ukatili yaliyoripotiwa mkoa wa Dodoma ni 2,352, ambapo ukatili kwa watoto ni 629 huku watu wazima…
4 December 2024, 11:16
Wanaume watakiwa kujitokeza kupima VVU
Wanaume wametakiwa kuacha tabia ya kusubiri wake zao wapime na kujiona wapo salama baada ya majibu. Na Lilian Leopord. Hofu na uoga kwa baadhi ya wanaume imeelezwa kuwa chanzo kikubwa kinachowafanya kushindwa kujitokeza kupima maambukizi ya virusi vya ukimwi. Wakizungumza…
4 December 2024, 10:53
Mnara wa Mawasiliano kujengwa kijiji cha Msolokelo Morogoro
Waziri Silaa amewahakikishia wananchi wa Msolokelo kufikishiwa huduma za mawasiliano katika kipindi kifupi kijacho. Na Mariam Matundu.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) ametoa maelekezo kwa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kushirikiana na…
3 December 2024, 12:08
Viongozi wa dini watakiwa kupinga vitendo vya ukatili
Kwa mujibu wa Ofisi ya maendeleo ya jamii Mkoani Dodoma kuanzia Januari hadi Agosti mwaka 2024 matukio ya ukatili yaliyoripotiwa mkoani Dodoma ni 2,352, ambapo ukatili kwa watoto ni 629 huku watu wazima ni matukio 1,723 (wanaume 350 na wanawake…
3 December 2024, 11:56
Wakazi wa Bahi road walalamika kero ya maji taka
Hali hiyo inahatarisha usalama wa afya za wananchi katika eneo hilo. Na Waandishi wetu. Wananchi wa Mtaa wa Bahi Road Jijini Dodoma wamepaza sauti zao juu mitaro inayotiririsha majitaka na chemba katika maeneo yao. Wakizungumza na taswira ya habari wamesema…
3 December 2024, 11:43
Serikali kuendeleza ushirikiano na wajariamali wa Zabibu
Serikali imeendelea kuwataka wawekezaji wengi kuja kuwekeza katika Mkoa wa Dodoma. Na Fred Cheti.Serikali imeahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa wajasirimali wadogo,wakati na wakubwa wa zao la zabibu ili kuzidi kukuza biashara hiyo pamoja uchumi wa nchi kwa ujumla. Naibu Waziri…
3 December 2024, 11:11
Ukali kupitiliza wa wazazi watajwa kuwaathiri Watoto kisaikolojia
Wazazi wameombwa kutoa taarifa kwa haraka katika vyombo vya sheria endapo atagundua mtoto amefanyiwa ukatili. Na Anwary Shaban . Imeelezwa kuwa kutokuwa na uhusiano mzuri kati ya wazazi na watoto ni chanzo cha Watoto kushindwa kuwa karibu na wazazi wao.…
2 December 2024, 11:47
Serikali kutoa mikopo kwa vikundi 22 Mpwapwa
Akifungua uzinduzi huo Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt Sophia Kizigo amesema Na Steven Noel.Miongoni mwa maadui watatu wa TAIFA hili tangu tupate uhuru ni ujinga ,umaskini na maradhi Ili kuhakikisha maadui hawa wanatoweka serikali imeweka mipango mbali mbali Ili…