Recent posts
1 December 2024, 14:14
Dodoma yaendelea kuwavutia wawekezaji
Jiji la Dodoma linaendelea kuwataka wawekezaji wengine kuja kuweza Dodoma. Na Mariam Kasawa.Jiji la Dodoma limetajwa kuwa mahali sahihi pa uwekezaji hivyo wawekezaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi wametakiwa kuja kuwekeza katika mkoa huu. Serikali imeendelea kuweka mazingira…
22 November 2024, 13:04
Wananchi watakiwa kuhudhuria kampeni za wagombea kusikiliza sera zao
Ikumbukwe kuwa jumla ya vijiji 12,280, mitaa 4,264 na vitongoji 63,886 ndivyovitakavyoshiriki uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 . Na Fred Cheti. Wananchi wa jijini Dodoma wametakiwa kujitokeza kuhudhuria kampeni za wagombea wa vyama vyote 14 vinavyofanya kampeni katika maeneo…
22 November 2024, 12:33
Mradi wa taka rejeshi kuwanufaisha wakazi kata ya Chamwino
Wananchi wamepaswa kutambua kuwa chupa za plastiki ni mali hivyo si vema kuzitupa ovyo na kuharibu mazingira. Na Fred Cheti. Majaribio ya Mradi wa uchakataji chupa za plastiki umetajwa kuwanufaisha wananchi wa kata ya Chamwino amabao wengi wamepata ajira kupitia…
22 November 2024, 12:08
Watu wenye ualbino waomba kipaumbele mikopo ya 2%
Mikopo hiyo itawasaidia kazi katika mazingira rafiki na kujikinga na ugonjwa wa saratani ya ngozi .Picha na Steven Noel. Na Steven Noel. Watu wenye ualbino wilayani Mpwapwa wameiomba halmashauri ya wilaya hiyo kuwapa kipaumbele Katika mikopo ya asilimia 2 ili…
22 November 2024, 11:37
Wakulima watahadharishwa uchomaji taka kwenye mashamba
Wakulima wametakiwa kuandaa mashamba bila kuathiri mazingira. Na Anselima Komba. Wakulima wametahadharishwa kuacha tabia ya kuchoma taka kwenye mashamba yao msimu wa kilimo . Afisa kilimo wa Halmashauri ya Bahi Lucy Kitwange amesema hayo wakati akizungumza na mwandishi wetu ofisini…
15 November 2024, 19:41
Senyemule mgeni rasmi Dodoma Jogging Club Day
Na Leonarld Mwacha. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Dodoma Jogging Club Day katika viwanja Sheli Complex jijini Dodoma. Koplo Innosensia Maaswawe amesema kuwa ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma imeandaa mbio…
15 November 2024, 19:40
Mtindo wa maisha chanzo cha magonjwa yasiyoambukiza
Na Noel Steven. Mtindo wa maisha umetajwa kuwa ni moja ya chanzo kwa magonjwa yasiyoamabukiza kwa jamii. Dkt John Simon mtaalamu wa magonjwa anaeleza jinsi mtindo wa maisha ulivyokuwa na athari za kiafya kwa jamii pamoja na Eliwasa Ndau Afisa…
15 November 2024, 19:40
Bahi walia kero ya maji chumvi
Na. Anselima Komba. Wananchi Wilayani Bahi Wameiomba Serikali kutimiza ahadi ya kutatuliwa kwa kero ya maji chumvi kwa kuwaunganishai maji baridi kutoka katika kata ya Ibihwa. Baadhi ya wanachi wanasema Serikali kupitia wizara ya maji iliwaahidi kutatua adha ya maji…
15 November 2024, 19:40
Jifunze kumlinda mtoto dhidi ya ukatili
Na Lilian Leopold Jamii inakabiliwa na tatizo la uelewa kufahamu vitendo vya ukatili ambavyo mtoto hapaswi kufanyiwa. Hidaya Kaonga, Wakili na Mratibu wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu Mkoani Dodoma amebainisha mambo ambavyo yananyima haki ya msingi kwa…
14 November 2024, 20:06
Upimaji afya ni muhimu kubaini viashiria vya magonjwa yasiyoambukiza
Na Anselima Komba Maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza yameanza rasmi Novemba 9/11/2024 na yatahitimishwa Novemba 16/11/2024 huku yakibeba kauli mbiu isemayo muda ni sasa zuia magonjwa yasiyoambukiza mahali pa kazi Dkt Rhoda Rameck ambaye pia ni Mratibu wa magonjwa…