Recent posts
4 June 2021, 14:52
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China a…
Matukio katika picha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Balozi wa China aliyemaliza muda wake hapa nchini Wang Ke mara baada ya kuwasili Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 4 Juni, 2021. Rais…
4 June 2021, 14:06
Ole Sabaya afikishwa mahakamani
Leo Juni 4, 2021 aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kujibu tuhuma zinazowakabili. Hayo yanajiri ikiwa ni siku chache zimepita baada ya Rais wa Jamhuri…
4 June 2021, 13:53
Wananchi wa eneo la stendi kuu jijini Dodoma wameomba Serikali kuwawekea alama z…
Na, Victor Chigwada. Wananchi wanaotumia kituo kikuu cha mabasi Dodoma pamoja na Soko kuu la Job Ndugai wameiomba Serikali kuwawekea kivuko cha juu pamoja na alama za barabarani kwenye eneo hilo ili kuepusha ajali. Wakizungumza na Dododma Fm baadhi ya…
4 June 2021, 13:36
Wananchi wametakiwa kutunza mazingira ili kunusuru kizazi cha sasa na baadae
Na; Shani Nicolous. Kuelekea kilele cha siku ya mazingira Duniani wananchi wametakiwa kuzingatia utunzaji wa mazingira ili kunusuru kizazi cha sasa na baadae. Wito huo umetolewa na mdau wa utunzaji wa mazingira kutoka kampuni ya Vilidium Tanzania ambao ni watengenezaji…
4 June 2021, 13:23
Waziri Awesso afanya ziara ya kukagua miradi ya maji wilaya ya Kongwa
Na; Selemani Juma. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameagiza kuondolewa katika wizara hiyo mhandisi wa maji wa Wakala wa Maji Vijijini (Ruwasa) Wilaya ya Hanang, Herbert Kijazi baada ya kuisababishia hasara Serikali ya Shilingi milion 609. Hatua ya hiyo imekuja…
4 June 2021, 13:06
Asilimia moja ya pato la Taifa yapotea kila mwaka kufuatia athari za mabadiliko…
Na;Mindi Joseph . Asilimia 1 ya pato la Taifa inatajwa kupotea kila mwaka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi huku ikikadiriwa watu milioni 1.6 wanaoishi ukanda wa pwani watakabiliwa na changamoto ya athari za mabadiliko ya tabia nchi ifikapo mwaka…
4 June 2021, 12:55
Finland kushirikiana na Tanzania kuboresha ustawi wa maendeleo ya jamii
Na; Mariam Matundu. Serikali ya Finland imedhamiria kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha kuwa Maafisa Ustawi na Maendeleo ya Jamii wanawezeshwa katika utekelezaji wa shughuli zao za uboreshaji wa huduma kwa jamii hususani uwezeshwaji wanawake kiuchumi.…
4 June 2021, 09:39
Rais Samia Suluhu apokea Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kumkaribisha Mjumbe Maalumu wa Rais wa Rwanda Paul Kagame, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Rwanda Dkt. Vincent Biruta mara baada ya kuwasili…
4 June 2021, 09:14
Dkt. Ndugulile ataka wasiolipa kodi waondolewe
Na; Mariam kasawa. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (kulia) akimsikiliza Meneja wa TEHAMA wa Shirika la Posta Tanzania Reuben Komba (kushoto) alipokuwa anawasilisha maelezo kuhusu mifumo ya TEHAMA iliyotengenezwa na Shirika hilo wakati wa…
3 June 2021, 14:13
Jumla ya wakazi 3000 wanatarajia kupata ajira kupitia ujenzi wa kiwanda cha mbol…
Na;Mindi Joseph. Jumla ya wananchi elfu 3000 wanatarajia kupata ajira kupitia ujenzi wa kiwanda cha mbolea Nala jijini Dodoma huku wananchi wa eneo hilo wakitarajia kunufaika zaidi na uboreshwaji wa miundombinu ya umeme na maji. Taswira ya habari imezungumza na, Meneja wa Kituo…