Dodoma FM

Recent posts

6 May 2022, 15:05

Baadhi ya wakazi wa Ihumwa wakosa uelewa juu ya alama za mipaka

Na; Victor Chigwada. Baadhi ya Wananchi wa Ihumwa wametajwa kuwa na uelewa mdogo juu ya utunzaji wa Mali na miundombinu inayowekwa na Serikali kwa lengo la kuwanufaisha wananchi. Kutokana na hayo wananchi wa Ihumwa wamesisitizana juu ya suala la kulinda…

6 May 2022, 14:42

Msalaba mwekundu kuadhimisha miaka 60 ya chama chao

Na; Benard Filbert. Kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya chama cha  msalaba mwekundu nchini chama hicho kimepanga kutoa elimu juu ya uviko 19 pamoja na kufanya usafi wa mazingira ikiwa sehemu ya maadhimisho hayo. Hayo yameelezwa na mratibu wa chama…

5 May 2022, 14:00

Wananchi watakiwa kutambua umuhimu wa Mbaazi

Na; Leonard Mwacha. Wananchi mkoani Dodoma wametakiwa kutambua umuhimu wa zao la mbaazi kuwa lina manufaa makubwa katika matumizi mbalimbali pamoja na biashara. Wito huo umetolewa na, Mkurugenzi wa  wa asasi siyokuwa ya serikali SEIDA Bw. Fredrick Ogenga, kupitia warsha…

5 May 2022, 07:40

Elimu ya mipaka itolewe kwa viongozi wa mitaa

Na;Yussuph Hassan. Elimu ya mipaka ya ardhi katika kipindi cha Sensa ya watu na makazi imetajwa kuwa muhimu katika kuhakikisha kila eneo linafahamu kwa kina mipaka yake. Akizungumza na kituo hiki Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Nzije Jijini hapa…

5 May 2022, 07:13

Viongozi wa Dini watakiwa kuhamasisha zoezi la sensa

Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa viongozi wa dini wanayo nafasi kubwa ya kuhamasisha zoezi la sensa na makazi ambalo linatarajiwa kufanyika mwaka huu mnamo mwezi Agosti. Hayo yameelezwa na baadhi ya wakazi jijini hapa wakati wakizungumza na taswira ya habari…

2 May 2022, 15:21

Chemba yafikia asilimia 88% Anuani za makazi

Na; Selemani Kodima. Wakati zoezi la Ukusanyaji wa taarifa za namba za anwani za Makazi likitegemewa kufika Tamati Mei 30, Wilaya ya Chemba imefika lengo katika zoezi la ukusanyaji wa taarifa za anwani za makazi kwa kukusanya taarifa 72958 Sawa…

2 May 2022, 15:11

Wafanyakazi wa Majumbani waomba serikali kutengeneza sera na miongozo

Na;Mindi Joseph . Wafanyakazi za Ndani wameomba serikali kutengeneza sera na miongozo itakayowasaidia kuwalinda na unyanyasaji na ukatili wa kijinsia pindi wanapotekeleza majukumu yao. Taswira ya habari imezungumza na baadhi ya wafanyakazi za ndani ambapo wamesema changamoto wanazokumbana nazo ni…

29 April 2022, 06:48

Zoezi la chanjo ya polio la ahirishwa hadi may 12 na 15

Na;Yussuph Hassan. Zoezi la chanjo ya ugonjwa polio lililotarajiwa kuanza jana Nchini, limehairishwa ambapo zoezi hilo litafanyika kuanzia mwezi may 12-15 nchini huku wananchi wakikisitizwa kujiandaa na zoezi hilo. Akizungumza na kituo hiki Mratibu wa Chanjo Mkoani Dodoma Victor Kweka…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger