Recent posts
24 June 2021, 08:15
Serikali yaombwa kutatua changamoto ya watumishi wa zahanati
Na; Victor chigwada Wananchi wa mtaa wa Chololo Kata ya Kikombo jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwatatulia changamoto ya uhaba wa watumishi kwenye zahanati na Shule ya msingi.Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamesema pamoja na kupaza sauti…
23 June 2021, 11:52
Serikali inakamilisha mkakati wa huduma ya mazoezi tiba nchini
Na; Yussuph Hans Serikali imesema inakamilisha mpango mkakati wa kutoa huduma ya mazoezi tiba nchini, kufuatia kuwepo kwa ongezeko la wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo ikiwemo walio na ugonjwa wa kupooza. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi…
23 June 2021, 11:34
wanawake Dodoma wamshukuru rais Samia.
Na; Benard Filbert Baadhi ya wanawake jijini Dodoma wamemshukuru rais Mh.Samia Suluhu Hassan kufuatia ongezeko la idadi ya wanawake ambao wameteuliwa hivi karibuni katika nafasi ya wakuu wa Wilaya nchini.Wakizungumza na taswira ya habari wanawake hao wamesema kitendo cha rais…
23 June 2021, 11:25
Tanzania yafikia 90% ya udhibi wa dawa za kulevya
Na; Mindi Joseph Kuelekea siku ya kimataifa ya kupambana na dawa za kulevya Tanzania imetajwa kufikia zaidi ya asilimia 90 ya udhibiti na kupambana na dawa hizo. Hii ni kwa mujibu wa Riporti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la…
22 June 2021, 13:58
Serikali kuboresha vitambulisho vya wajasiriamali ambavyo hutolewa kwa kipindi c…
Na;Yussuph Hans. Serikali katika kuhakikisha wajasiriamali wadogo wanafanya biashara kwa uhuru, imesema inaendelea kuboresha vitambulisho vya wajasiriamali ambavyo hutolewa kwa kipindi cha mwaka mzima. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha maswali na majibu na Naibu Waziri Ofisi…
22 June 2021, 13:46
Wakazi wa kata ya kikombo waiomba serikali kumalizia mradi wa umeme ulionza tang…
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Kikombo jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwakamilishia mradi wa umeme ambao ulianza tangu mwaka 2018 kwa kuwa baadhi ya maeneo bado hayajafikiwa na huduma hiyo. Baadhi ya wananchi hao wakiwemo wa Mtaa wa Chololo…
22 June 2021, 13:27
Wakuu wa wilaya wapya Dodoma wametakiwa kusimamia vema vipaumbele vya Mkoa
Na;Yussuph Hans. Mkuu wa Mkoa Dodoma Mh. Antony Mtaka amewataka wakuu wa wilaya aliowaapisha leo Jijini Dodoma kuhakikisha wanasimamia vyema Vipaumbele vya mkoa na kuleta mabadiliko Chanya. Akizungumza baada ya hafla ya uapisho wa Viongozi hao, Mh Mtaka amesema kuwa…
22 June 2021, 11:55
Jamii imetakiwa kuimarisha Afya kwa kuzingatia inakula makundi matano ya chakula
Na; Benard Filbert. Jamii imeshauriwa kuacha kusubiri ushauri katika suala la kutumia makundi matano ya vyakula na badala yake kujijengea tabia hiyo ili kuimarisha afya zao. wito huo umetolewa na wakazi wa kijiji cha Solowu wilayani Chamwino mkoani Dodoma wakati…
21 June 2021, 14:05
Wakuu wa mikoa wapya wametakiwa kusimamia ipasavyo huduma kwa wananchi
Na; Yussuph Hans. Wakuu wa Mikoa walioapishwa hii leo wametakiwa kuhakikisha wanasimamia ipasavyo huduma kwa wananchi katika maeneo wanayoenda kuyatumikia. Wito huo umetolewa na waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa hii leo wakati rais Rais Mh.Samia…
21 June 2021, 11:03
Ubovu wa barabara katika kata ya Ovada umepelekea baadhi ya akina mama wajawazit…
Na; Benard Filbert. Changamoto ya miundombinu ya barabara katika kata ya Ovada wilayani Chemba imetajwa kuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo . Hayo yameelezwa na wakazi wa kata hiyo wakati wakizungumza na taswira ya habari ambapo wamesema kuwa ubovu…