Dodoma FM
Dodoma FM
25 August 2021, 12:53
Na; Mariam Matundu. Foundation for disabilities hope imemtembelea binti Rhoda Batholomeo Nambali mwenye ulemavu wa akili pamoja na ulemavu wa viungo na kuahidi kumsaidia bima ya afya pamoja na kumtafutia wadau wengine watakao msaidia . Afisa utawala wa taasisi hiyo…
25 August 2021, 12:42
Na;Mindi Joseph. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa amesema serikali itaongeza jitihada za kutatua changamoto zinazowakabili wafanyakazi nchini. Akizungumza leo jijini Dodoma wakati wa kufungua mkutano wa chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa Tanzania…
24 August 2021, 14:02
Na; Selemani Kodima. Imeelezwa kuwa mgogoro wa eneo ambalo lilitakiwa kujengwa matundu ya vyoo katika Gulio la Chilonwa ni sababu ya kuchelewa ujenzi wa matundu hayo. Hayo yameelezwa na Diwani wa Kata ya Chilonwa Bw Alpha Msuza wakati akielezea mkakati…
24 August 2021, 13:41
Na;Mindi Joseph . Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh Anthony Mtaka amekitaka chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa Tanzania TALGWU Kusimamia maadili ya watumishi wao ili kuondoa ukiukwaji wa maadili kwa watumishi Nchini. Akizungumza leo jijini Dodoma katika mkutano…
24 August 2021, 13:09
Na;Yussuph Hans. Jamii imekuwa na dhana mbalimbali juu ya umuhimu wa lishe bora ambapo dhana hiyo imesababisha baadhi ya watu kupendelea aina fulani ya chakula ili kukwepa gharama za vyakula vingine. Wakizungumza na taswira ya Habari Wakazi Mkoani Dodoma wamesema…
23 August 2021, 13:53
Na; Fred Cheti. Ikiwa leo Agosti 23 ni siku ya kumbukizi ya biashara ya utumwa Duniani bado inaelezwa kuwa athari za biashara hiyo ambayo inayotajwa kama moja ya ukatili wa kupindukia uliowahi kutokea kwa mwanadamu zinaendelea kuonekana duniani. Hiyo ni…
23 August 2021, 13:40
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa ili kuvunja ukimya na kuwezesha upatikanaji wa hedhi salama kwa watoto wa kike ni muhimu suala hili likaanza kuzungumzwa ndani ya familia pamoja na kujumuishwa kwenye bajeti za familia. Akizungumza na taswira ya habari mdau…
23 August 2021, 13:26
Na;Mindi Joseph . Ushirikishwaji wa wanawake katika uzalishaji wa mazao kwenye sekta ya kilimo umetajwa kuongezeka kutoka asilimia 10 hadi 70 Mkoani Dodoma. Akizungumza na taswira ya habari afisa kilimo kata ya kigwe wilayani Bahi Bw,Dominica Sabangi Afisa kilimo halmashauri…
20 August 2021, 12:42
Na; Selemani Kodima . Uongozi wa kata ya Msamalo wilayani Chamwino umetoa shukrani kwa Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Medard Kalemani kwa jitahada kubwa ambazo zimeendelea kufanywa kuhakikisha vijijiji vinavyopatikana katika kata hiyo vinapata huduma ya Umeme. Hayo yamesemwa na…
20 August 2021, 12:15
Na;Mindi Joseph. Serikali imewataka Maafisa biashara kufanya kazi kwa ushirikiano na weledi ili kuboresha huduma kwa wananchi na kupunguza kero pamoja na kuepuka kupokea rushwa. Akizungumza leo wakati wa kufunga mafunzo ya maafisa biashara Jijini Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-