Dodoma FM
Dodoma FM
15 September 2021, 14:12
Na;Mindi Joseph. Mbunge wa Dodoma Mjini Mh Athony mavunde amewataka vijana kufanya kazi kwa weledi pindi wanapopata nafasi ya kuaminiwa kufanya kazi Kwenye Taasisi mbalimbali Nchini. Akizungumza na taswira ya Habari Mh Mavunde amesema vijana wanapopewa jukumu la kufanya kazi…
15 September 2021, 03:37
14 September 2021, 14:10
Na; Benard Filbert. Kufuatia Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kumteua Dokta Stergomena Tax kuwa waziri wa ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa jamii imetakiwa kuondoa dhana potofu iliyopo kwenye jamii kuwa mwanamke hawezi kuongoza wizara…
14 September 2021, 13:58
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa usawa wa kijinsia katika nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini unawezekana kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassani anaonesha nia ya dhati katika kufikia hilo kutokana na teuzi mbalimbali anazozifanya. Hayo yameelezwa na mratibu wa mradi…
14 September 2021, 03:13
13 September 2021, 13:35
Na; Beanard Filbert. Mkuu wa wilaya ya Kongwa Remidius Emannuel amesema wilaya hiyo imeweka mkakati wa kulima mashamba yote ya shule za msingi na sekondari katika wilaya hiyo lengo ikiwa wanafunzi wote kupata chakula shuleni na kudhibiti tatizo la lishe…
13 September 2021, 13:21
Na;Mariam Matundu. Watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani wametajwa kuwa katika hatari ya kufanyiwa vitendo vya ukatili ikwemo kubakwa na kulawitiwa pamoja na kutumikishwa katika magenge yakihalifu. Hayo yamesemwa na katibu mkuu wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee…
13 September 2021, 12:57
Na; Fred Cheti. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu amewataka mawaziri wapya aliowateua siku ya jana kwenda kufanya kazi kwa bidii ili kuleta mabadiliko katika wizara walizochaguliwa na kwa watanzania kwa ujumla. Rais Samia ameyasema hayo…
13 September 2021, 11:55
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa jamii kuepuka uvutaji wa sigara hususani wakati wa mapambano dhidi ya UVIKO 19. Akizungumza na Taswira ya habari Dr. Missani Yango kutoka hospitali ya mkoa amesema kuwa sigara ina mchango mkubwa katika kueneza ugonjwa…
13 September 2021, 08:30
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-