Recent posts
1 April 2021, 13:07
Fountain Gate warejea Kambini
Na; Matereka Junior Uongozi wa timu za Fountain Gate acadey umetangaza kurejea kambini kwa wachezaji wao wote wa timu za wanaume na wanawake ili kuanza maandalizi ya mechi za ligi. Afisa habari wa timu hiyo Juma Ayo amesema wachezaji wameanza…
1 April 2021, 11:24
Misingi bora ya jamii ni chanzo cha haki na usawa
Na; Mindi Joseph. Kituo cha sheria na haki za Binadamu kimemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassani kutengeneza misingi itakayohakikisha jamii inaishi kwa kufuata sheria haki na kuzingatia usawa wa kijinsia. Akizungumza na Taswira ya habari…
1 April 2021, 10:31
Madereva wanao fanya makosa kupewa adhabu
Na; Mariam Matundu. Waziri wa mambo ya ndani ya nchi George Simbachawene amesema wameweka utaratibu wa kutangaza majina ya madereva watakaokuwa wanafanya makosa ya kujirudia kila mwezi ikiwa ni sambamba na adhabu mbalimbali. Mh.Simbachawene ameyasema hayo hii leo na kutangaza…
1 April 2021, 07:48
Wabunge wateule wala kiapo bungeni
Na; Mariam Kasawa Spika wa Bunge Job Ndugai amewaapisha wabunge watatu wa kuteuliwa na Rais leo Alhamisi Aprili mosi, 2021 bungeni mjini Dodoma. Walioapishwa ni Balozi Liberata Mulamula, Balozi Bashiru Ally na Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk walioteuliwa na Rais Samia…
31 March 2021, 14:02
Rais afanya mabadiliko baraza la mawaziri
Na; Mariam kasawa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri . Rais Suluhu amefanya mabadiliko hayo leo Machi 31,2021 Ikulu Chamwino Dodoma wakati wa hafla ndogo ya kumuapisha Makamu wa Rais,…
31 March 2021, 12:26
Ligi kuu Tanzania Bara kurejea dimbani April 8
Na; Matereka Junior. Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania,(TPLB) Almas Kasongo amesema kuwa Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajia kuendelea Aprili 8 baada ya kutimiza siku 21 za maombolezo. Amesema baada ya kuipitia ratiba yao wamekuja na mabadiliko ambapo ligi…
31 March 2021, 11:43
Miundombinu bora ni chachu ya ufaulu katika shule za umma
Na; Mindi Joseph Imeelezwa kuwa uboreshaji wa miundombinu na usimamizi makini unahitajika kwa shule za Umma ili kuongeza morali ya kufanya vizuri kwa wanafunzi Mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa matokeo ya Baraza la Mitihani Tanzania NECTA kuanzia mwaka 2018 hadi…
31 March 2021, 11:06
Wakazi wa Ng’ambi wametakiwa kupanda miti ili kuepuka mafuriko
Na; Selemani Kodima. Wakazi wa kata ya Ng’ambi wilayani Mpwapwa wametakiwa kuhakikisha wanapanda miti pembezoni mwa vyanzo vya maji ikiwemo Mito ya maji ili kuzuia Mafuriko yanayotokea wakati wa Msimu Mvua za Masika. Wito huo umetolewa na Diwani wa Kata…
31 March 2021, 09:17
Serikali kuwatambua watoa mikopo ya kilimo
Na; Mariam Matundu Kutokana na changamoto ya baadhi ya wakulima kushindwa kupata mikopo ya pembejeo kwasababu ya riba kubwa na masharti mengine yanayotolewa na watoa mikopo, serikali kupitia wizara ya kilimo imeanza kuwatambua watoa huduma wote wanaotoa mikopo ya kilimo.…