Recent posts
26 March 2021, 11:23
Vyombo vya ulinzi na usalama vitamtii Rais Samia
Na; Mariam Kasawa Mkuu wa Majeshi nchini Tanzania (CDF) Venance Mabeyo amemuhakikishia Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vitamtii na kutekeleza majukumu yake kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Jamhuri…
26 March 2021, 10:29
Wakazi wa Chamwino waahidi kuziishi ndoto za Rais Magufuli
Na Selemani Kodima Mkuu wa wilaya ya Chamwino Vumilia Nyamoga amesema wataendelea kumkumbuka Hayati Magufuli kwa Juhudi zake ambazo alizionesha kwa wakazi wa Chamwino katika Huduma za Msingi ikiwemo Huduma ya Maji na umeme. Bi Nyamoga amesema Hayati Magufuli alionyesha…
26 March 2021, 09:49
Ihumwa waomba kuboreshewa soko
Na; Shani Nicolaus. Wafanyabiashara katika Mtaa wa Ihumwa jijini Dododma wametoa wito wa kukarabatiwa soko lao ili waepukane na changamoto wanayokumbana nayo hasa msimu wa mvua. Wakizungumza na Dodoma fm wafanyabiashara hao wameomba kutatuliwa adha hiyo mara baada ya kukamilika…
26 March 2021, 08:13
Uwajibikaji wa Vijana ni matunda ya kumuenzi Rais Magufuli
Na; Selemani Kodima Vijana Nchini wametakiwa kuendelea kuwajibika na kuonesha Uzalendo katika Majukumu yao ili kuenzi uzalendo ambao uliooneshwa na Hayati Rais Magufuli wakati wa Utawala wake. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya maendeleo ya Vijana Dodoma DOYODO…
25 March 2021, 13:30
Viongozi mbalimbali, wasanii Watoa heshima zao Mwisho
Na; Mariam Kasawa. viongozi, wasanii na maelfu ya wananchi wametoa heshima zao za mwisho kwa hayati Dkt. Magufuli kijijini chato mkoani geita Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa na Makamu wapili wa Rais wa serikali…
24 March 2021, 13:14
Wafanyabiashara Dodoma Wamshukuru Magufuli
Na; Shani nicholous . Kufuatia kifo cha aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dkt.John Magufuli bado wajasiriamali wadogo pamoja na wafanyabiashara mbalimbali wameendelea kumlilia na kumshukuru kwa kuwaboreshea mazingira yao ya biashara. Wakizungumza na Dodoma Fm wajasiriamali…
24 March 2021, 12:06
Rais Magufuli aliutambua mchango wa wanawake katika uongozi
Na; Mariam Matundu. Viongozi wanawake jijini Dodoma wamesema watamkumbuka daima hayati Dkt.John Magufuli kwa kuwa aliwaamini wanawake na kuwapa nafasi mbali mbali za uongozi katika kipindi cha uongozi wake. Akizungumza na taswira ya habari mmoja wa madiwani wanawake Kata ya…
24 March 2021, 09:09
Rais Magufuli ameacha alama njema kwa Taifa la Tanzania
Na ;Mariam Kasawa. Waziri wa Nchi ofisi ya waziri mkuu, Sera,Bunge,ajira ,vijana na wenye ulemavu Bi. Jenista Mhagama amesema kamati iliyo pewa kazi ya kufanya maandalizi yote ya mazishi imekamilisha maandalizi hayo na bado inaendelea kusimamia mambo mbalimbali. Bi. Mhagama ameyasema hayo…
24 March 2021, 06:21
Mwili Wa Hayati Dkt. John Magufuli wawasili Jijini Mwanza
Na; Mariam Kasawa. Wakazi wa jiji la Mwanza na maeneo ya jirani tayari wamewasili katika uwanja wa CCM Kirumba kwa ajili ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki Dunia…
23 March 2021, 11:36
Bendera za UN kupepea nusu mlingoti
Na; Mariam Kasawa. Umoja wa Mataifa (UN) umesema Bendera ya Umoja huo itapepea nusu mlingoti katika Ofisi za Makao Makuu jijini New York Nchini Marekani. Bendera hiyo itapepea Machi 26, 2021 ili kumuenzi Rais John Magufuli ambaye atazikwa siku hiyo…