Recent posts
9 April 2021, 08:37
Nkonko wakomesha mimba shuleni, kwa kujenga bweni
Na; Seleman Kodima. Uongozi wa Kijiji cha Nkonko kilichopo Wilayani Manyoni Mkoani Singida umefanikiwa kujenga bweni la wasichana katika Secondari ya Kijiji hicho ili kupunguza tatizo la mimba shuleni. Hayo yamesemwa na Diwani wa Kata ya Nkonko Bw.Ezekiel Samwel ambapo…
8 April 2021, 13:46
Tanzania kujenga uchumi shindani wa viwanda
Na; Mindi Joseph Serikali imesema inaendelea na maandalizi ya mikakati ya utekelezaji wa mpango wa 3 wa maendeleo wa Taifa kwa kipindi cha miaka 5 unaolenga kujenga uchumi shindani wa viwanda kwa maendeleo ya watu. Mapendekezo ya mpango huo yamesomwa…
8 April 2021, 12:00
ATCL yatengeneza hasara, ripoti ya CAG
Na; Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa kwa Miaka Mitano mfululizo shirika la Ndege Tanzania ATCL imetengeza hasara ambapo kwa mwaka huu limesababisha hasara ya shilingi Bilioni sitini (60 ) na Milioni miambili arobaini na sita (246). Hayo yamebainishwa mbele ya waandishi…
8 April 2021, 10:00
Waziri jafo aipa machinjio ya kizota miezi sita kujenga mfumo wa kutibu majitaka
Na ; Mariam Kasawa. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameupa uongozi wa machinjio ya kisasa ya Kizota jijini Dodoma miezi sita kurekebisha changamoto ya utiririshaji wa majitaka ovyo. Jafo ametoa agizo…
8 April 2021, 09:28
Marufuku ya vifungashio kufika tamati Kesho Aprili 9
Na; Mariam Matundu Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya kuwepo kwa vifungashio visivyokidhi viwango vya ubora sokoni ,vifungashio vipya vinavyokidhi viwango vya ubora tayari vimeanza kupatikana sokoni. Hayo yamezungumzwa na Afisa mazingira kutoka ofisi ya makamu wa rais muungano…
7 April 2021, 13:28
Hotuba ya Rais Samia yawapa faraja wananchi
Na; Mindi Joseph Wakazi Mkoani Dodoma wamesema kupitia Hotuba ya Mh Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliyoitoa jana wakati akiapisha viongozi mbalimbali wa kiserikali imewapa faraja na matumaini makubwa katika kutetea haki za wanyonge na…
7 April 2021, 13:09
Rais mh.Samia Suluhu ashiriki dua maalum ya kumuombea hayati rais amani abeid ka…
Na; Mariam Matundu Ikiwa leo ni kumbukumbu ya kifo cha rais wa awamu ya kwanza wa Zanzibar hayati Abedi Amani Karume, rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan ameshiriki dua maalum ya kumuombea iliyofanyika visiwani humo. Katika…
7 April 2021, 10:09
Hatimaye Soko la Sabasaba lapata uongozi
Na; Shani Nicolous Katibu wa Soko la Sabasaba jijini Dodoma Bw.Isaka Nyamsuka amesema kuwa wamejipanga vyema kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wafanyabiashara. Bw.Nyamsuka amesema kuwa tayari wameanza kuyatekeleza baadhi ya majukumu ikiwepo kusimamia usafi na kupanua baadhi ya…
7 April 2021, 09:03
Nagulo Bahi wanafunzi kuanza masomo rasmi
Na ; Suleiman Kodima. Wananchi wa kijiji cha Nagulo Bahi kata ya Bahi wameupongeza Uongozi wa kata hiyo kwa hatua ya kukamilisha Ujenzi wa Sekondari na hatimaye wanafunzi kuanza Masomo Rasmi. Wakizungumza na Taswira ya Habari wananchi hao wamesema kuwa…
7 April 2021, 05:42
Rais kuhudhuria siku ya mashujaa (Karume day) Zanzibar
Na; Mariam Kasawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan jana tarehe 06 Aprili, 2021 aliwasili Zanzibar akitokea Jijini Dar es Salaam ambapo atahudhuria maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) itakayofanyika katika Ofisi Kuu ya…