Dodoma FM
Dodoma FM
29 June 2021, 12:38
Na;Mindi Joseph. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo amezitaka mamlaka za serikali za mitaa na Mikoa kusimamia utekelezaji wa kanuni za usimamizi wa mazingira katika udhibiti wa kelele na mitetemo ili kulinda afya za…
29 June 2021, 12:07
NA; SHANI NICOLOUS . Kufuatia siku mia moja za Mh. Rais Samia Suluhu Hassan baadhi ya wananchi wamekuwa wakizungumzia kwa marefu na mapana maendeleo ya nchi katika nyanja mbalimbali. Akizungumza na Dodoma fm mchambuzi wamasuala ya kisiasa jijini Dodoma Bw.…
29 June 2021, 11:21
Na; Benard Filbert. Ukosefu wa huduma ya maji safi na salama katika kijiji cha Asanje wilayani bahi imetajwa kuathiri shughuli za kiuchumi kwa wakazi wa kijiji hicho. Hayo yameelezwa na wakazi wa kijiji hicho wakati wakizungumza na taswira ya habari…
28 June 2021, 13:01
Na; JOAN MSANGI. Imeelezwa kuwa endapo jamii itafuatilia na kufahamu sheria ndogondogo za utunzaji wa mazingira itasaidia kwa kiasi kikubwa katika utunzaji wa mazingira pamoja na kuwa na mazingira bora. Hayo yameelezwa na Bw.Dicksoni Kimaro Afisa Mazingira wa jiji la…
28 June 2021, 12:42
Na;Mindi Joseph . Mwenyekiti wa kamati wa baraza la taifa la mashirika yasiyo yakiserikali NaCoNGO Wakili Flaviana Charles ametangaza kuanza kwa mchakato wa uchaguzi katika ngazi ya mikoa yote nchini unaoshirikisha wawakilishi waliochaguliwa kutoka kila wilaya. Akizungumza leo jijini Dodoma…
28 June 2021, 11:48
Na;Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa endapo Rasilimali za Taifa zitasimamiwa vizuri pamoja na kufanyia kazi mapendekezo ya mkaguzi na mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali zitanufaisha vyema Maisha ya kila Mtanzania. Hayo yamebainishwa leo Jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Taasisi ya…
28 June 2021, 11:26
Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa uelewa mdogo wa sheria kwa waganga wa tiba za asili nchini ni sababu inayo pelekea kutokea kwa migogoro mingi katika jamii. Hayo yameelezwa na katibu wa umoja wa waganga na wakunga asilia nchini Bwana Lucas…
26 June 2021, 15:15
Na;Mindi Joseph Serikali imesema tatizo la matumizi ya Dawa za kulevya Nchini limeendelea kuongezeka siku hadi siku huku akitoa Maelekezo mbalimbali kwa kuwasiadia waathirika wadawa za kulevya kiuchumi ili wasirudi katika matumizi ya Dawa hizo. Akizungumza hii leo Jijini Dodoma…
26 June 2021, 15:07
Na,Mindi Joseph . Serikali imesmea ni vyema kusitisha mabadiliko yoyote kwenye mitaala ya Ngazi ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari iliyopo sasa Nchini mpaka mchakato wa wadau kuchangia maoni ili kuwa na Mtaala ambao ni shirikishi na jumuishi utakapokamilika.…
25 June 2021, 14:07
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Iyumbu jijini Dodoma wameishukuru Serikali kwa kusimamia ipasavyo utatuzi wa migogoro ya ardhi. Baadhi ya wanachi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema tangu Diwani wa Kaya yao alipoingia madarakani ameshirikiana na wananchi…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-