Dodoma FM

Recent posts

4 September 2024, 19:03

Kelele nyumba za starehe zinakwamisha maendeleo

Halmashauri za nchi zimehimizwa kuandaa muongozo maalumu wa maadili kwaajili ya uendeshaji na usimamizi wa baa na klabu katika maeneo mbalimbali Kelele nyumba za starehe zinakwamisha maendeleo Na Mariaam Kasawa. Halmashauri za nchi zimehimizwa kuandaa muongozo maalumu wa maadili kwaajili…

3 September 2024, 17:13

Vipimo ni muhimu kwa thamani halisi ya pesa ya mteja

Na Fred Cheti. Wananchi Jijini Dodoma wameshauriwa kuhakiki vipimo sahihi vya bidhaa au huduma mbalimbali wanazopatiwa ili kupata huduma au bidhaa inayoendana na thamani halisi ya malipo ya pesa. Hayo yameelezwa na Meneja wa Wakala wa Vipimo Mkoa wa Dodoma…

3 September 2024, 17:12

DUWASA yashauriwa kutatua kero za maji kwa wananchi

Na Yusuph Hassan. Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mkoani Dodoma DUWASA imeshauriwa kuanzisha dawati kwa ajili ya kusikiliza na kutatua  kero za maji kwa wananchi. Ushauri huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Janet Mayanja akizungumza katika…

3 September 2024, 16:53

Kampeni ya kutokomeza njaa, utapiamlo kuzinduliwa Septemba 6

Hili ni Jukwaa la nne kuwakutanisha mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kila mwaka tangu kuanza kufanyika mwaka 2021 ambapo mwaka huu mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko . Na Mariam Matundu.…

2 September 2024, 17:32

Lishe ni muhimu kwa ufaulu wa wanafunzi

Licha ya kuimarisha kinga ya mwili lishe bora pia inaelezwa inatajwa kumsaidia mwanafunzi kuwa na uwezo wa kufikiri na kumbukumbu hivyo kumwezesha mwanafunzi kuelewa na kukumbuka masomo kwa wepesi. Na Mindi Joseph. Imeelezwa kuwa Mpango Mkakati wa Afya na lishe…

2 September 2024, 17:01

Wanawake na wanaume wanategemeana katika kuleta maendeleo

Na Mariam Matundu. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema wanawake na wanaume wanategemeana katika kazi ili kuleta maendeleo endelevu. Waziri Dkt. Gwajima amesema hayo wakati akifungua mkutano wa kwanza wa mtandao…

2 September 2024, 10:59

Wananchi watoa maoni mapendekezo bei mpya ya umeme

Kwa sasa bei za Uniti za Umeme Nchini Tanzania zinatofautiana kulingana na matumizi na Ruzuku za Serikali. Na Seleman Kodima. Wakazi wa Jiji la Dodoma wamekuwa na maoni tofauti juu ya mapendekezo yaliyotolewa Bungeni Jijini Dodoma juu ya mapatio mapya…

28 August 2024, 20:36

Dira ya maendeleo ya 2050 izingatie usawa katika kila sekta

Dira ya maendeleo mwaka 2050 inapaswa kuboreshwa katika mabo mbalimbali ikiwemo elimu na Afya. Na Mariam Kasawa. Wadau wameeleza maoni yao katika Dira ya mwaka 2050 kuwa inapaswa kuzingatia usawa kwa watu wote bila upendeleo kwa watu walio chini na…

28 August 2024, 14:23

Dhana ya 50/50 si yakushindana na wanaume

Imeelezwa kuwa kupitia dhana ya hamsini kwa hamsini ambayo inamjenga mwanamke kushiriki katika kila idara sawa kwa sawa na mwanaume dhana hii imepokelewa tofauti na baadhi ya jamii. Na Mariam Kasawa. Wakati serikali ikiwa katika mchakato wa maandalizi ya Dira…

26 August 2024, 19:10

RC Dodoma kufungua tamasha la 7 la jinsia wilaya ya Kondoa

Na Mariam Kasawa. Zaidi ya Wanaharakati na Wadau 300 wanaotetea haki za wanawake na usawa wa jinsia kutoka pande mbalimbali nchini wanatarajia kushiriki katika Tamasha la 7 la Jinsia Ngazi ya Wilaya 2024 katika Viwanja vya Sabasaba, Wilaya ya Kondoa.,…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger