Dodoma FM

Recent posts

6 December 2024, 11:26

Mhandisi mradi wa Tactic atakiwa kukamilisha kazi kwa wakati

Maandalizi ya utekelezaji wa mradi huu yamegawanywa katika makundi matatu kwa kuzingatia awamu za mgao wa fedha kutoka kwa mfadhili (Benki ya Dunia). Na Annuary Shaban.Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Alhaj Jabir Shekimweli amemtaka mhandishi wa mradi wa tactic kuhakiksha…

4 December 2024, 12:45

Elimu, dini jinsia na ulemavu visababishi ubaguzi katika familia

Wazazi na walezi wameombwa kutokuwabagua watoto wao katika familia ili kuweka usawa. Na Lilian Leopord. Elimu, jinsia, dini na ulemavu vimetajwa kuwa visababishi vinavyochochea watoto kubaguliwa kwenye familia. Akizungumza na Dodoma Tv Afisa Mradi kutoka Action for Community Care Michael…

4 December 2024, 12:29

Imani za kishirikina zatajwa kuchangia ukatili dhidi ya Watoto

Kwa Mujibu wa Ofisi ya Maendeleo ya Jamii mwaka 2024 pekee, kwa kipindi cha kuanzaia mwezi wa kwanza  hadi mwezi wa nane  matukio ya ukatili yaliyoripotiwa mkoa wa Dodoma ni  2,352, ambapo ukatili kwa watoto ni 629 huku watu wazima…

4 December 2024, 11:16

Wanaume watakiwa kujitokeza kupima VVU

Wanaume wametakiwa kuacha tabia ya kusubiri wake zao wapime na kujiona wapo salama baada ya majibu. Na Lilian Leopord. Hofu na uoga  kwa baadhi ya wanaume imeelezwa kuwa chanzo kikubwa kinachowafanya kushindwa kujitokeza kupima maambukizi ya virusi vya ukimwi. Wakizungumza…

4 December 2024, 10:53

Mnara wa Mawasiliano kujengwa kijiji cha Msolokelo Morogoro

Waziri Silaa amewahakikishia wananchi wa Msolokelo kufikishiwa huduma za mawasiliano katika kipindi kifupi kijacho. Na Mariam Matundu.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) ametoa maelekezo kwa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kushirikiana na…

3 December 2024, 12:08

Viongozi wa dini watakiwa kupinga vitendo vya ukatili

Kwa mujibu wa Ofisi ya maendeleo ya jamii Mkoani Dodoma kuanzia Januari hadi Agosti mwaka 2024 matukio ya ukatili yaliyoripotiwa mkoani Dodoma ni  2,352, ambapo ukatili kwa watoto ni 629 huku watu wazima ni matukio 1,723 (wanaume 350 na wanawake…

3 December 2024, 11:56

Wakazi wa Bahi road walalamika kero ya maji taka

Hali hiyo inahatarisha usalama wa afya za wananchi katika eneo hilo. Na Waandishi wetu. Wananchi wa Mtaa wa Bahi Road Jijini Dodoma  wamepaza sauti zao juu mitaro inayotiririsha majitaka na chemba katika maeneo yao. Wakizungumza na taswira ya habari wamesema…

3 December 2024, 11:43

Serikali kuendeleza ushirikiano na wajariamali wa Zabibu

Serikali imeendelea kuwataka wawekezaji wengi kuja kuwekeza katika Mkoa wa Dodoma. Na Fred Cheti.Serikali imeahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa wajasirimali wadogo,wakati na wakubwa wa zao la zabibu ili kuzidi kukuza biashara hiyo pamoja uchumi wa nchi kwa ujumla. Naibu Waziri…

3 December 2024, 11:11

Ukali kupitiliza wa wazazi watajwa kuwaathiri Watoto kisaikolojia

Wazazi wameombwa kutoa taarifa kwa haraka katika vyombo vya sheria endapo atagundua mtoto amefanyiwa ukatili. Na Anwary Shaban .                    Imeelezwa kuwa kutokuwa na uhusiano mzuri  kati ya wazazi na watoto ni chanzo cha Watoto kushindwa kuwa karibu na wazazi wao.…

2 December 2024, 11:47

Serikali kutoa mikopo kwa vikundi 22 Mpwapwa

Akifungua uzinduzi huo Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt Sophia Kizigo amesema Na Steven Noel.Miongoni mwa maadui watatu wa TAIFA hili tangu tupate uhuru ni ujinga ,umaskini na maradhi Ili kuhakikisha maadui hawa wanatoweka serikali imeweka mipango mbali mbali Ili…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger