Dodoma FM
Dodoma FM
12 December 2024, 16:55
Wakopaji wengi hawana elimu juu ya matumizi sahihi ya mikopo hiyo. Na mwandishi wetu.Baadhi ya wananchi Jijini Dodoma wamesema mikopo umiza maarufu kama kausha damu inalenga kusaidia mahitaji muhimu ingawa wakopaji wengi hawana elimu juu ya matumizi sahihi ya mikopo…
12 December 2024, 16:43
Aidha ameongeza kuwa vifo vya Watoto vinavyotokana na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi mkoani Dodoma vimepungua. Hofu ya kuogopwa kutengwa katika jamii imeelezwa kuwa chanzo kikubwa kinachowafanya baadhi ya watu kushindwa kuwaweka wazi watu wao wa karibu pindi wanapokutwa na…
11 December 2024, 17:59
Pamoja na hayo washiriki wa kongamano hilo wamekumbushwa wajibu wao kwa wananchi na kuheshimu katiba na sheria ili kutoa huduma bora kwa watanzania. Na Yussuph Hassan.Watendaji na wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Nov 27, 2024 wametakiwa kutopuuzia…
11 December 2024, 17:28
Wanaeleza kuwa tangu kujengwa kwa kituo hicho zaidi ya miaka 30 hakuna msaada wa kujitosheleza unaotolewa na Serikali katika kituo hicho licha ya jamii yake kujikita katika shughuli za kilimo cha umwagiliaji. Na Victor Chigwada.Wakulima wa bustani za mbogamboga kutoka…
11 December 2024, 16:57
Mtaa wa Msangalalee wenye wakazi wapatao 20,378, kwa sasa hauna mawasiliano ya baadhi ya barabara kutokana na mvua kuharibu madaraja manne, hali inayosababisha changamoto kubwa kwa wananchi wa eneo hilo. Wananchi wa Mtaa Msangalalee kata ya Dodoma Makulu, Jijini Dodoma…
10 December 2024, 17:19
Je kwanini kisima hiki kiliita jina hilo hapa wazee wa eneo hilo wanaeleza. Leo Yussuph Hassan yupo kata ya Chang’ombe mtaa wa Mazengo akiangazia historia ya Kisima cha Nyoka kinachopatika katika eneo hili.
10 December 2024, 17:08
Miongoni mwa msaada uliotolewa na taasisi ya Tfed ni pamoja na majiko ya gesi, fimbo nyeupe, cherehani, kiti mwendo na mafuta kwa watu wenye ualbino. Na Yussuph Hassan.Imeelezwa kuwa kuna umuhimu mkubwa kwa kundi la watu wenye ulemavu kutambua afya…
10 December 2024, 16:50
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa soko la Sabasaba amesema soko hilo linahudumia zaidi ya wafanyabiashara 10,000, na kila siku zaidi ya watu 15,000 huingia na kutoka sokoni hapo, jambo linaloonesha ukubwa na umuhimu wa soko hili katika uchumi wa jiji…
10 December 2024, 16:29
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Majeleko wakizungumza na Taswira ya Habari wameelezea hali ilivyo kwa sasa. Na Victor Chigwada.Wakazi wa kijiji cha Majeleko wilayani Chamwino wameshindwa kufanya baadhi ya shughuli kutokana na Mvua zinazo endelea kunyesha na kuharibu miundombinu…
10 December 2024, 16:04
Hii inajiri baada ya mfululizo wa vipindi vya mvua kunyesha bila kumpuzika hususani katika kipindi hiki cha msimu wa mvua. Na Nazael Mkude.Wito umetolewa wakazi wa mtaa wa bwawani kata ya ipagala mkoani Dodoma kuhakikisha kuwa wanachukua tahadhari kwa kipindi…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-