Dodoma FM
Dodoma FM
15 January 2025, 16:14
Licha ya ukubwa wa kijiji cha Muungano lakini zahanati hiyo ina watumishi wawili ingawa kwasasa imebaki na mtumishi mmoja kutokana na mtumishi mwingine kuwa likizo. Na Victor Chigwada .Wananchi kijiji cha Muungano wamelalamikia kufanyishwa usafi katika zahanati inayopatikana kijijini hapo…
14 January 2025, 14:49
Kikao hicho maalum ni utekelezaji wa mpango harakishi wa kuibua wagonjwa wa kifua kikuu katika halmashauri 76 za mikoa 9. Na Seleman Kodima.Katibu tawala mkoa wa Dodoma Kaspar Mmuya amesema ipo haja ya kuwatambua wagonjwa wa kifua kikuu mapema ili…
14 January 2025, 12:40
Awali Wananchi wa Kijiji cha Chifutuka walilazimika kukodi magari binafsi na kusafiri umbali wa zaidi ya kilomita 90 hadi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ujio wa gari hilo umekuwa ahueni ya kupata tiba katika vituo na hospital za…
14 January 2025, 11:47
Hata hivyo amesema maandalizi kwa ajili ya kiwapokea vijana hao yamekamilika ambapo alisema katika shamba hilo kila kitu ambacho kinahitajika kwa ajili ya kilimo kipo kwa ajili ya kuanza uzalishaji. Na Selemani Kodima.Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeanza kuwapokea vijana…
13 January 2025, 16:39
Picha ni vimelea vya Kipindipindu .Picha na Google. Hayo yameelezwa na Katibu Kata wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndg.Lazaro Chiswagala alipo kuwa akiongea na waumini wa kanisa la MT.Joseph Ihumwa Na Victor Chigwada .Wananchi wa mtaa wa Ihumwa A wapewa…
13 January 2025, 16:12
Wananchi hao wameiomba serikali kufuatilia mabomba yaliyo katwa ili kutatua kero ya maji kijijini hapo. Na Kitana Hamis.Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Dosidosi Wilayani Kiteto Mkoani Manyara Wamedaiwa Kuhujumu Miradi ya Maji wazaidi ya sh: milioni Mianne (400) kwa…
10 January 2025, 17:38
Uzingatizi si tu hitaji la kisheri bali pia ni kiashiria cha uwajibikaji wa taasisi na dhamira ya kulinda haki za wananchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 16(1). Na Lilian Leopord.Tume ya Ulinzi wa…
8 January 2025, 15:34
Shule za msingi na sekondari zinatarajiwa kufunguliwa Januari 13 mwaka huu, ambapo Watoto wenye umri wa kuanza shule wanatakiwa kuandikishwa. Na Lilian Leopold .Wito umetolewa kwa wazazi na walezi kuhakikisha wafanya maandalizi ya kutosha kwa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na shule…
8 January 2025, 14:44
Maeneo ya malisho yanayodaiwa kuuzwa niyale yaliyo Tengwa kwa shughuli za Ufungaji. Na Kitana Hamis.Wanaume jamii ya Kifungaji masai Kiteto Watuhumiwa Kuuza Nyanda za MlishoWakizungumza kwa hisia kali Baadhi ya Wanawake wa Jamii ya Kifungaji Masai wanasema Migogoro mingi ya…
8 January 2025, 14:09
Wanaohisiwa kufanya vitendo hivyo baadhi yao saba wamekamatwa na mmoja kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali. Na Kitana Hamis.Wananchi wa kijiji cha Olboloti wilayani Chemba mkoani Dodoma wakiongea kwa jazba huku huzuni iliyojaa maumivu kueleza changamoto zinazowakabili hapo kijijini,…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-