Dodoma FM
Dodoma FM
28 September 2021, 13:18
Na; Shani Nicolous. Mwenyekiti wa mtaa wa Nzinje Bw .Godfrey Daud Samweli amepongeza juhudi mbalimbali za serikai zinazofanyika kutatua changamoto za mtaa huo. Akizungumza na Taswira ya habari mwenyekiti huyo amesema kuwa kuna shughuli zinaendelea katika mtaa huo kama kusafisha…
28 September 2021, 13:04
Na;Thadei Tesha. Viongozi kwa kushirikiana na wazazi wameshauriwa kuwa mstari wa mbele katika kuwafundisha watoto wao maadili na tamaduni za kitanzania ili kukuza kizazi cha watoto wenye kufuata misingi na tamaduni nzuri za kitanzania. Akizungumza na taswira ya habari afisa…
27 September 2021, 12:30
Na; Fred Cheti. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassani leo Septemba 27 ameshiriki mkutano wa jumuiya ya tawala za mikoa Tanzania(ALAT) ambao ni maalumu kwa ajili ya uchaguzi wa mamalaka hizo. Akizungumza katika mkutano huo uliofanyika…
27 September 2021, 12:15
Na; Benard Filbert. Serikali ya kata ya Chiwe wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma imefanikiwa kukusanya zaidi ya milioni 30 lengo ikiwa kujenga shule ya sekondari moleti ili kutatua changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kwenda shuleni. Hayo yameelezwa na diwani…
27 September 2021, 12:08
Na; Shani Nicolaus. Imeelewza kuwa muitikio wa kuripoti vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanaume jijini Dodoma umeongezeka. Akizungumza na Taswira ya habari Afisa wa jinsia na watoto kutoka Kituo kikuu polisi Dodoma Maicko Nkinda Sabuni amesema kuwa kumekuwa na…
27 September 2021, 11:56
Na ;Selemani Kodima. Uongozi wa kijiji cha Mlali bondeni wilayani Kongwa umesema unaendelea kuchukua jitihada za kutatua changamoto ya miundombinu ya daraja linalounganisha mlali – chibarau ili kusaidia kupunguza matukio ya ajali katika eneo hilo. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa…
24 September 2021, 10:17
Na;Mariam Matundu. Ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya viziwi ,jamii imetakiwa kutambua kuwa lugha ya alama ni lugha kama zilivyo lugha zingine na jamii ione umuhimu wa kujifunza ili kutatua changamoto ya mawasiliano baina yao na viziwi. Bwana Frank Sarungi…
24 September 2021, 09:50
Na; Benard Filbert. Licha ya wakala wa barabara za Mijini na Vijini TARURA Wilaya ya Bahi kuanza ujenzi wa barabara katika kata ya Ibihwa Wilaya ya Bahi imeelezwa bado juhudi zinatakiwa ili kuondoa changamoto ambazo zimekuwa kero kwa wananchi hususuani…
24 September 2021, 09:24
Na; Mariam Matundu . Katika kuendelea kutatua changamoto za miundombinu ya elimu wakazi wa Kijiji cha Iyumbwi Kata Ya Nghumbi Wilayani Kongwa wanaendela na ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msingi Iyumbwi kwa nguvu zao .Katika ujenzi…
24 September 2021, 09:08
Na; Thadey Tesha. Wito umetolewa kwa wananchi jijini Dodoma kutunza miundombinu ya maji hususani ya maji taka ili kuepuka athari za kiafya zinazoweza kujitokeza. Wito huo umetolewa na MwenyeKiti wa mtaa wa Kiwanja ch ndege Bw. Ignas Joseph baada ya…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-