Dodoma FM
Dodoma FM
27 September 2024, 20:42
Na Steven Noel. Changamoto kubwa inayowakabili vijana kwa sasa ni suala la upatikanaji wa ajira. Kutokana na changamoto hiyo, baadhi ya vijana wamefikiria njia mbadala ya kutumia vipaji walivyonavyo ili kujipatia kipato ili kuweza kujikimu kimaisha. Hapa tumsikie moja ya…
27 September 2024, 20:42
Na Fred Cheti. Maafisa ugani wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kutumia mafunzo waliyopatiwa kuhusu mfumo wa fursa na vikwazo vya maendeleo katika kuisaidia jamii kukua kiuchumi. Wito huo umetolewa na Bwn. Briani Samweli Mkufunzi wa Mafunzo kutoka Ofisi…
27 September 2024, 20:42
Na Mindi Joseph. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Rosemary Senyamule ameonya juu ya upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kuhusu mwenendo wa zoezi la uandikishaji wananchi katika daftari la kudumu la mpiga kura . Akizungumza na waandishi wa habari…
27 September 2024, 18:00
Oktoba 11 kila mwaka dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Msichana lengo likiwa ni kutoa elimu juu ya umuhimu wa upatikanaji wa haki na uwezeshaji wa wasichana duniani kote. Na Hilali Ruhundwa Kuelekea Siku ya Msichana Duniani, shirika la Plan…
26 September 2024, 19:52
Na Yussuph Hassan.Tabibu Msaidizi kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu Jiji la Dodoma Pepertua Kasase amesema kuwa ugonjwa wa macho unaweza kusababishwa na historia ya mgojwa mwenyewe endapo kama alishawahi kupata ugonjwa huo siku za nyuma au mazingira aliyopo kwa sasa.…
26 September 2024, 19:51
Wananchi wilayani Mpwapwa wanafurahia kupata huduma za madaktari bingwa waliokita kambi wilayani humo ili kuwahudumia wananchi kwa ukaribu zaidi. Uwepo wa madaktari hao umesaidia wananchi wasio na uwezo kupata huduma za madaktari bingwa pia kuepuka gharama za safari endapo wangepata…
26 September 2024, 19:51
Na Lilian Leopold Kutengana kwa wazazi katika ndoa kumeathiri watoto kwa kiasi kikubwa hasa katika suala la malezi. Baadhi na wazazi mkoani Dodoma wametoa maoni yao juu ya athari zinazowakabili watoto juu ya kuvunjika kwa ndoa. Wakitaja baadhi ya athari…
25 September 2024, 20:27
Na Fred Cheti Wananchi jijini Dodoma wameomba kupatiwa elimu zadi juu ya utambuzi wa noti bandia ili kuepukana na changamoto za noti hizo katika mzunguko wa shilingi. Jamii kwa sasa imekumbwa na changamoto ya uwepo wa noti bandia kunakofanywa na…
25 September 2024, 20:27
Na Yussuph Hassan Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini amepongeza waandishi wa habari kwa kutumia kalamu zao kujenga nchi ,kukosoa pamoja na kuelimisha wakati akifungua semina ya wanahabari ya kusherekea miaka 70 ya Misaada ya Japan. Shirika…
25 September 2024, 20:27
Na Leonald Mwacha. Wengi wetu tumeshuhudia ndugu wa wakirithi mali za marehemu baada ya utaratibu wa mirathi kufanyika. Je uliwahi kujiuliza ni nani anaweza kurithi mali za marehemu ikiwa hana ndugu? Fuatilia mahojiano baina ya Leonard Mwacha na Lydia Mnete…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-