Dodoma FM
Dodoma FM
29 October 2024, 20:05
Na Leonard Mwacha. Suala la umiliki wa mali binafsi katika ndoa limekuwa na sintofahamu kutokana na kukosekana kwa elimu ya umiliki wa mali kwa wanandoa. Hali hiyo huweza kuleta changamoto za mahusiano baina ya wanandoa haswa pindi ambapo mali hizo…
29 October 2024, 20:05
Na Mariam Matundu. Lishe bora kwa vijana balehe ni muhimu ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya mwili wa kijana. Imeelezwa kuwa kuna umuhimu mkubwa wa kuzingatia lishe bora kwa kundi la vijana balehe wa miaka 10 hadi 19 ili…
29 October 2024, 20:04
Na Anwary Shabani. Soko la Machinga Jijini Dodoma litafanyiwa maboresho ya uwekaji wa vigae vya chini ili kuondoa vumbi ambalo limekuwa kero kwa wafanyabiashara sokoni hapo. Maboresho hayo yanafuatia baada ya malalamiko toka kwa wafanyabiashara wadogo wadogo katika risala iliyosomwa na…
29 October 2024, 16:00
Na Selemani Kodima. Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Dodoma DUWASA imekamilisha uchimbaji wa kisima cha maji kitakachowahudumia wananchi wapatao Elfu 28 jijini Dodoma katika maeneo ya Kisasa, Mwagaza na Nyumba Mia Tatu na utatekelezwa kwa kipindi cha…
29 October 2024, 15:59
Na Mariam Matundu. Hospitali ya Benjamini Mkapa imeanzisha mtandao wa kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyotokea mara nyingi kwa watoto . Hii ni kufuatia kupokea wagonjwa ambao hutibiwa hosptalini hapo na kubainika wamefanyiwa vitendo vya ukatili ama wanapitia…
29 October 2024, 15:59
Na Noel Steven Wanawake wa Kanisa la Pentekoste Tanzania KLPT wilayani Mpwapwa, wamehimizwa kujitokeza siku ya uchaguzi Novemba 27 Ili kuweza kuchagua viongozi bora wa Serikali za mitaa. Akiongea katika siku ya kuhitimisha wiki ya wanawake KLPT Parishi ya Ng’ambo,…
29 October 2024, 15:59
Na Anwary Shabani Watu watatu jijini Dodoma wamenusurika kifo baada ya bajaji waliyokuwa wakiitumia kwa safari za mjini kuwaka moto na kuteketea katika mtaa wa Kitenge Kata ya majengo. Bwn Isaack Gideon ambaye ni dereva wa bajaj hiyo anaeleza jitihada…
27 October 2024, 18:13
Kwa kutambua changamoto katika hatua ya ukuaji wa mwanamke na uhitaji wa huduma za afya, shirika la Marie Stopes Tanzania limezindua kampeni itakayomwezesha mwanamke kuanzia umri wa miaka 16 hadi 50 kupata huduma stahili za afya. Na Hilali A. Ruhundwa,…
25 October 2024, 18:36
Na Nazael Mkude. Viongozi wa dini jijini Dodoma wametoa wito kwa jamii kuacha tabia ya kujitoa uhai kutokana na changamoto za maisha. Wakizunguzma kwa nyakati tofauti, viongozi hao wa dini wamesema ni dhambi mbele za Mungu kuchukua maamuzi ya kujiua.…
25 October 2024, 18:36
Na Yusuph Hassan. Kituo cha mafunzo kwa vijana kwa ajili ujasiriamali na kilimo kimezunduliwa jijini Dodoma. Akizungumza katika uzinduzi huo Bwn. Peter Marc kutoka Young World Feeders amesema kuwa kituo hicho kitatoa fursa kwa wajasiriamali kuongeza thamani zao na kufanya…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-