Dodoma FM
Dodoma FM
23 January 2025, 17:35
Katika kuhakikisha wakulima wanazingatia msingi wa kilimo bora, Shirika la Rikolto wameendelea kutoa elimu kwa wakulima kuhusu kilimo bora, lishe na usawa kijinsia pamoja na usalama wa chakula. Na Seleman Kodima.Imeelezwa kuwa ili kuwa jamii yenye afya njema ipo haja…
21 January 2025, 18:04
hakuna madhara ya kifo yaliyotokea katika ajali ya moto huo. Na Mariam KasawaTakribani maduka 10 yaliyopo katika Barabara ya Nane katikati ya Jiji la Dodoma yameteketa kwa moto uliozuka leo Januari 21, 2025 majira ya saa moja asubuhi, na hivyo…
17 January 2025, 17:31
Mahakama isikilize kesi hizo kwa haraka ili Wananchi Wazee kupata Haki zao kwa haraka na kwa usahihi Zaidi kwasababu inavyokuwa inachukuwa zaidi mda Mrefu unakuta mwananchi anapoteza Mda Mwingi pia haki yake inachelewa Kupatikana. Na Kitana Hamis.Afisa misitu wa Suluedo…
16 January 2025, 15:44
Pamoja na Kuhamasisha, kulinda na kurejesha Afya na Ustawi wa Jamii kwa kuzingatia na mipango sahihi, ya kufikia maendeleo endelevu ya Afya ya Jamii. Na Victor Chigwada.Tabasamu limerejea kwa wananchi wa kijiji cha Mlazo wilayani chamwino baada ya serikali kuboresha…
16 January 2025, 15:23
Dodoma FM imezungumza na mama wa mtoto ambaye anadai kuwa hawezi kumsomesha mtoto huyo. Na Kitana Hamis.Kwa mujibu wa mwanafunzi huyo, ameieleza Dodoma FM kuwa mama yake tayari alipokea mahari ili kumwozesha binti huyo ambapo binti huyo aliamua kuomba msaada…
15 January 2025, 17:09
Mwandishi wetu Alfred Bulahya ametuandalia kisa kuhusu shujaa aliyemsaidia mhanga wa vitendo vya ukatili wa kijinsia mahala pa kazi. Na Seleman Kodima.Umoja wa Mataifa, unafafanua kuwa ukatili wa kijinsia ni kitendo chochote anachofanyiwa mtu yeyote awe mwanamke, mwanaume au mtoto,…
15 January 2025, 16:45
Ajenda ya maendeleo ambayo inalenga kuhakikisha kwamba “hakuna anaebaki nyuma,”ikiwa ni pamoja na ahadi ya kuhakikisha elimu jumuishi na bora kwa wote. Na Seleman Kodima.Imeelezwa kuwa ili kuvishinda vikwazo vinavyomkwamisha mtoto wa kike kusoma na kutimiza malengo yake ni wazazi…
15 January 2025, 16:14
Licha ya ukubwa wa kijiji cha Muungano lakini zahanati hiyo ina watumishi wawili ingawa kwasasa imebaki na mtumishi mmoja kutokana na mtumishi mwingine kuwa likizo. Na Victor Chigwada .Wananchi kijiji cha Muungano wamelalamikia kufanyishwa usafi katika zahanati inayopatikana kijijini hapo…
14 January 2025, 14:49
Kikao hicho maalum ni utekelezaji wa mpango harakishi wa kuibua wagonjwa wa kifua kikuu katika halmashauri 76 za mikoa 9. Na Seleman Kodima.Katibu tawala mkoa wa Dodoma Kaspar Mmuya amesema ipo haja ya kuwatambua wagonjwa wa kifua kikuu mapema ili…
14 January 2025, 12:40
Awali Wananchi wa Kijiji cha Chifutuka walilazimika kukodi magari binafsi na kusafiri umbali wa zaidi ya kilomita 90 hadi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ujio wa gari hilo umekuwa ahueni ya kupata tiba katika vituo na hospital za…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-