Dodoma FM
Dodoma FM
29 January 2025, 13:38
Upo umhimu mkubwa kwa redio jamii kushikiri kuhamasisha jamii juu ya namna na kukabiliana na ugonjwa. Na Mwandishi wetu.Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Hajjat Fatma Abubakari Mwassa, amezindua rasmi semina ya mafunzo ya siku nne kwa waandishi wa habari…
28 January 2025, 18:31
Lengo ni kuhakikisha Mapato yatakayopatikana yanachangia upatikanaji wa huduma hiyo. Na Seleman Kodima.Ukosefu wa taarifa sahihi ,unyanyapaa zimetajwa kuwa sababu zinazopeleka jamii kutojitokeza kushiriki afua za kukabiliana na magonywa ya changamoto za afya ya akili. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa…
27 January 2025, 18:23
TRA), mkoa wa Dodoma imesema itatumia sheria zilizopo kuwapatia unafuu wa kikodi wafanyabiashara walioathirika. Na Seleman Kodima.Ikiwa siku chache zimepita tangu takribani maduka 14 yaliyopo mtaa wa Kipande katikati ya jiji la Dodoma kuteketea kwa moto, Mamlaka ya Mapato Tanzania…
27 January 2025, 16:00
Utekelezaji miradi ya kilomita ishirini na tano kwa kiwango cha changarawe imesaidia kuunganisha Vijiji hivyo. Na Victor Chigwada.Ukarabati wa miundombinu ya barabara kutoka wilunze mpaka manzilanzi na Majeleko umesaidia kuleta unafuu wa mawasiliano katika vijiji vya kata ya Majeleko. Hayo…
27 January 2025, 15:45
Jengo la mama na mtoto mpaka sasa limefikia hatua ya renta ambapo kwa sasa ujenzi umesimama kutokana na kuishiwa fedha za kuendeleza. Na Seleman Kodima.Uchache wa majengo katika zahanati ya Muungano umesababisha akina mama wajawazito kutumia chumba kimoja kujifungulia. Wakizungumza…
24 January 2025, 13:55
Makosa hayo nikutokuwa nakofia ngumu pamoja na Makosa Mengine. Na Kitana Hamis.Akizungumza kuhusu Operesheni hiyo Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara Ahmed Makarani amesisitiza kuwa Jeshi hilo litawachukulia hatua kali za Kisheria Madereva watakaokiuka Sheria za Usalama Barabarani…
24 January 2025, 13:34
Wamesema pindi mvua zinaponyesha Maji yanaingia kwenye Nyumba zao hali inayo hatarisha usalama wa wananchi. Na Steven Noel.Wananchi wa mtaa wa hazina kata ya Vig’hawe wilaya ya Mpwapwa wameiomba serikali imalizie ujenzi wa mitaro ya maji kwenye barabara inayojengwa toka…
24 January 2025, 12:30
Dkt. Omary Nkullo ameahidi kuzichukua changamoto zote na kuzifanyia kazi ikiwemo kuona namna ya kuwaajiri walimu wanaojitolea kuwafundisha wanafunzi wenye ulemavu katika kituo hicho. Na Mariam Kasawa.Wanafunzi 119 wenye mahitaji maalum waliopo katika kituo kilichopo Shule ya Msingi Mkoka wilayani…
23 January 2025, 18:17
Majirani wameeleza Juu ya Tukio hilo lilivyo Tokea. Na Kitana Hamis.Mjumbe wa Serikali ya Mtaa afariki dunia Kwa Kuanguka Ghafla huku Wananchi wengi wakibaki na Maswali Juu ya ya kifo chake. Tukio Hilo limetokea Mtaa wa Majego Kata ya Mtumba…
23 January 2025, 18:06
Wakieleza namna ambavyo kukosekana kwa maji safi na salama kunawaathiri wananchi hao, wameiomba serikali kutatua adha hiyo. Na Victor Chigwada.Wananchi wa vitongoji vya Chidobwe, Kaunda na Liwangama Kolimba wameiomba serikali kushughulikia changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-