Dodoma FM
Dodoma FM
20 February 2025, 18:02
Halmashauri ya jiji la Dodoma imeomba kusaidia kutatua kero ya taka katika eneo hili ili wananchi waweze kuepukana na mrudikano wa taka pamoja na hatari ya kupata magonjwa ya mlipuko. Na Mariam Kasawa.Wakazi wa mtaa wa Changanyikeni kata ya Miyuji…
19 February 2025, 18:22
Mwandishi wetu Selemani Kodima ametuandalia taarifa ifuatayo kuhusu mwanamke aliyesoma sayansi. Na Mwandishi wetu.Itakumbukwa hivi karibuni Dunia iliadhimisha siku ya wanawake na wasichana katika Sayansi. Kwa mujibu wa takwimu za elimu na ajira duniani zinaonesha kuwa ushiriki wa wanawake na…
19 February 2025, 15:46
Amewataka Makatibu wa Matawi wa Chama hicho kutenda haki, kutopuuza Katiba na kujiepusha na masuala ya RUSHWA. Na Seleman Kodima.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emanuel Nchimbi amewataka Makatibu wa Matawi wa Chama hicho kutenda haki, kutopuuza…
19 February 2025, 15:32
Kwa mujibu wa taarifa ,Mtuhumiwa huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi huku Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma ikiendelea na kampeni ya usitishaji wa huduma ya maji kwa wateja ambao ni wadaiwa sugu. Mamlaka ya Majisafi na Usafi…
18 February 2025, 19:43
Dira ya mpango huu ni kuhakikisha watoto wote nchini Tanzania wanaweza kusoma na kuhesabu kufikia umri wa miaka 10. Na Seleman Kodima.Wakuu wa shule na walimu wa masomo katika shule 265 za msingi katika mikoa 11 hapa nchini wamepokea jumla…
18 February 2025, 19:17
Katika hatua Nyingine ameitaja mikakati ya serikali iliyopo katika kuendelea kuikuza sekta ya michezo nchini. Na Alfred Bulahya.Kufuatia Serikali Nchini kuiongezea Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo bajeti ya fedha kutoka shilingi bilioni 35.44 mwaka 2021/2022 hadi shilingi bilioni…
18 February 2025, 18:39
Miongoni mwa walio Hudhuria Mkutano huo nipamoja na Wananchi wa Vijiji vya Wilaya ya Chemba. Na Kitana Hamis.Naibu waziri wa Ardhi Mh Geofrey Pinda ameunda tume ya kuchunguza mgogoro wa ardhi wilayani Kiteto uliodumu kwa muda mrefu. Awali wenyeviti wa…
17 February 2025, 18:13
Serikali imepanga Kutenga asilimia kumi (10%) ya bajeti ya kila mwaka kwa ajili ya Miradi ya mafunzo kwa vitendo kwa Makandarasi Wazawa. Na Alfred Bulahya.Serikali kupitiwa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imekamilisha ujenzi wa barabara zenye urefu wa jumla ya…
12 February 2025, 16:53
Ikumbukwe kuwa Ushiriki wa wanawake na wasichana katika sayansi, teknolojia, uhandisi, hisabati bado ni mdogo licha ya juhudi za wadau katika eneo hilo. Na Seleman Kodima.Dhana Potofu imetajwa kuendelea kuwa kikwazo kinachokwamisha juhudi za wanawake na wasichana kusoma masomo ya…
12 February 2025, 16:30
Inaelezwa kuwa ndoa nyingi zimekuwa zikivunjika mara kwa mara na kupelekea madhara makubwa kwenye jamii. Na Kitana Hamis.Wananchi Wilayani Kiteto mkoani Manyara wameeleza sababu zinazo pelekea kuvunjika kwa ndoa Mara kwa mara. Baadhi ya Wananchi Wilayani Kiteto wameeleza sababu mbali…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-