Dodoma FM
Dodoma FM
30 July 2025, 11:18
Mradi huu wa Boresha Maisha yaVijana tayari umefika katika mikoa Takribani mine na tayari umegusa maisha ya vijana 40, 000 hapa nchini. Na Mriam Kasawa. Uongezaji wa thamani katika mazao ni moja ya njia zinazo tajwa kuwanufaisha vijana jijini Dodoma…
24 July 2025, 17:08
wagombea hao wametakiwa kufuata kanuni Sheria na taratibu za uchaguzi. Na Steven Noel. Wanachama 46 wa umoja wawanawake ccm Tanzania UWT. Wilaya ya Mpwapwa wapitisha majina tisa ya waliowania udiwani viti maluum Katika mchakato uliofanyika Katika viwanja vya ofisi za…
24 July 2025, 16:18
kufuatia ithibati hiyo watatoa Huduma bora Kwa wakazi wa mpwapwa na viunga vyake. Na Steven Noel. Uongozi wa hospitali ya wilaya ya Mpwapwa imeboresha Huduma za kimaabara kufuatia kupatia kupatiwa ithibati na wizara ya Afya na kuanza kutoa Huduma ambazo…
22 July 2025, 15:55
Afisa Afya Shadrack Geofrey ametoa wito kwa viongozi wa mitaa Dodoma kuwa na utaratibu wa kutembelea maeneo ya biashara ya chakula ili kujiridhisha juu ya mwenendo wa biashara hiyo kuwa ni safi na salama. Na Farashuu Abdallah. Wafanyabiashara wa Chakula…
22 July 2025, 14:23
Ikumbukwe kuwa mradi wa ukarabati wa jengo la zahanati ya Ihumwa ulianza tarehe 10 /08/2023, ukigharimu kiasi cha shilingi milioni 235.9 fedha kutoka Shirika la Wahisani ABBOT. Na Lilian Leopord. Uboreshwaji wa miundimbinu uliofanyika katika zahanati ya Ihumwa iliyopo jijini …
22 July 2025, 13:08
Kutokana na hali hiyo, mapema Seleman Kodima alifanya mahojiano na Apolioni Boniphace kutoka Taasisi ya Whole Health Junction na hapa anaeleza zaidi. Na Seleman Kodima.Kwa mujibu wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka…
22 July 2025, 12:20
Mkoa wa Dodoma una idadi kubwa ya vijana wenye umri wa miaka 15–35, ambao ni sehemu muhimu ya nguvu kazi ya taifa ambapo Asilimia 81 ya waliotoa maoni kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 walikuwa vijana wa umri huo.…
18 July 2025, 17:07
Malalamiko 11 tayari yamefanyiwa kazi kwa hatua ya awali ya kuwahoji watuhumiwa, huku uchambuzi wa kina ukiendelea. Na Kitana Hamis.Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kilimanjaro imewahoji watia nia 11 wa ubunge kutokana na malalamiko ya rushwa…
18 July 2025, 16:31
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2025, Ismail Ali Ussi, ameeleza kuridhishwa na namna RUWASA inavyosimamia utekelezaji wa mradi huo. Na Kitana Hamis.Jumla ya wananchi 133,737 kutoka viji 21 vya Halmashauri ya wilaya ya Mbulu wanatarajia kunufaika…
17 July 2025, 15:50
Kwa upande mwingine Wataalamu na Wamiliki wa Mabwawa ya maji na tope sumu, Taasisi na watu binafsi wameshauriwa kujisajili katika mafunzo haya muhimu yanayohusu Tahadhari za dharura za kukabiliana na Majanga ya Mabwawa ya Maji na Tope Sumu. Na Farashuu…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-