Dodoma FM
Dodoma FM
14 November 2025, 15:43
Wiki ya Upimaji wa Magonjwa Yasiyoambukiza ilianza Novemba 12 na inahitimishwa leo Novemba 14 katika Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Na Lilian Leopold.Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaji Jabir Shekimweri, amesisitiza umuhimu wa watoa huduma za afya kufuata sheria…
14 November 2025, 15:14
Ameongeza kuwa ahadi alizotoa wakati wa kampeni zitakuwa kipaumbele chake, hususan katika kuboresha barabara za mitaa ambazo zimekuwa kero kwa muda mrefu. Na Seleman Kodima.Baada ya kupata ushindi wa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Miyuji kwa kura zaidi ya…
14 November 2025, 14:15
Sambamba na hayo, Jerome Marando ametoa wito kwa jamii nzima, hususan maafisa usafirishaji, kuendelea kujitokeza bila hofu kuchangia damu salama ili kuokoa maisha ya watu wenye uhitaji. Na Anwary Shaban. Imeelezwa kuwa kundi la maafisa usafirishaji maarufu Bodaboda limekuwa mstari…
13 November 2025, 16:48
Kukamilika kwa bwawa hilo itawasaidia wananchi kufanya kilimo cha mwaka mzima tofauti na hapo awali ambapo kilimo kilitegemea msimu mmoja wa mvua. Na Victor Chigwada. Licha ya ujenzi wa bwawa la umwagiliaji kata ya Membe, wilaya ya Chamwino jijini Dodoma…
13 November 2025, 16:27
Wananchi hao wameomba kuwekwa utaratibu wa uhakika wa upatikanaji wa maji ili kupunguza usumbufu wanaoupata. Na Farashuu Abdallah.Wakazi wa Mtaa wa Mathias, Kata ya Miyuji jijini Dodoma wameiomba serikali kutatua changamoto ya ukosefu wa maji ambayo imekuwa ikiwakabili kwa muda…
13 November 2025, 16:09
Zoezi hilo lilianza Novemba 12 na linatarajiwa kukamilika Novemba 14, 2025, huku wataalamu wa afya wakiendelea kutoa elimu kuhusu kinga, umuhimu wa kufanya mazoezi ya mwili, na matumizi sahihi ya vyakula vinavyosaidia kupunguza hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukiza. Na; Lilian…
12 November 2025, 13:53
Aidha Wakazi wa Ukalanzila wameendelea kuomba msaada wa haraka ili kuondokana na changamoto hiyo, wakisisitiza kuwa upatikanaji wa maji safi ni msingi wa afya na maendeleo ya jamii. Na Victor Chigwada.Wakazi wa kitongoji cha Ukalanzila, kilichopo katika Kata ya Muungano,…
12 November 2025, 13:32
Hata hivyo, Meena amewataka wananchi kuzingatia ushauri na maelekezo ya madaktari kabla ya kutumia dawa, ili kuepuka madhara yanayoweza kuepukika. Na Lilian Leopold.Wataalamu wa afya wameonya kuhusu matumizi ya dawa sambamba na maziwa au bidhaa zinazotokana na maziwa, wakisema hali…
12 November 2025, 13:13
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kukevya (DCEA) imesema kundi la vijana wasomi wa vyuo vikuu ndio linaloongoza kwa matumizi makubwa ya dawa za kulevya ikiwemo uchepushwaji wa kemilaki bashirifu na dawa tiba zenye asili ya kulevya. Na…
12 November 2025, 12:46
Abiria pia wanapaswa kuwa waelewa na waache kuomba kushushwa vituo visivyo rasmi. Na Farashuu Abdallah.Madereva wa daladala wametakiwa kupakia na kushusha abiria katika vituo rasmi ili kuepusha madhara yanayoweza kutokea. Hayo yamesemwa na Afisa Mfawidhi kutoka mamlaka ya usafirishaji Mkoa…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-