Dodoma FM
Dodoma FM
11 April 2022, 15:32
Na; Shani Nicolous. Wanachi wa mkoa wa Dodoma pamoja na wadau wote wa maji wametakiwa kuendeleza ushirikiano na mamalaka ya maji safi na usafi wa mazingira Duwasa ili kufikia lengo la kumaliza changamoto ya maji. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji…
11 April 2022, 14:44
Lishe Hafifu kwa Mama wajawazito imetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa Watoto kuzaliwa wakiwa na upofu wengine uoni Hafifu. Taswira ya habari imezungumza na Daktari wa macho Wilaya Bahi Dk Fortunatus Nkane ambaye pia ni Mratibu wa huduma za Macho Wilayani…
6 April 2022, 15:39
Na; Victor Chigwada. Changamoto ya usajili wa shule shikizi imekuwa kilio Cha maeneo mengi nchini licha ya kuwa shule hizo zimekuwa zikijengwa kwa lengo la kupunguza umbali kwa wanafunzi au kupunguza idadi ya wanafunzi kwa shule mama. Kijiji cha Mima…
6 April 2022, 15:22
Na;Yussuph Hassan. Wazazi na walezi Mkoani Dodoma wameshauriwa kuhakikisha wanawapeleka Watoto wao katika vituo vya afya kufanya uchunguzi wa Magonjwa mbalimbali ambayo mara nyingi huwa kama yamesahauliwa katika jamii. Akizungumza na kituo hiki Dkt Matthew Gaudance kutoka kituo cha Afya…
6 April 2022, 15:12
Na; Mariam Kasawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh samia Suluhu Hassani amezindua mpando wa M-mama utao wezesha usafirishaji wa dharura kwa wajawazito na watoto wachanga. Uzinduzi huo umefanyika leo katika viwanja vya Chinangali Park vilivyopo jiji Dodoma…
5 April 2022, 14:22
Na; victor Chigwada. Pamoja na kasi ya uundwaji wa vikundi vya vijana na wajasiriamali mabalimbali nchini ambavyo hupatiwa mikopo ya kuendesha shughuli zao lakini kumekuwa na changamoto ya upataji wa elimu juu ya mikopo hiyo pamoja na matumizi yenye tija.…
5 April 2022, 13:37
Na;Yussuph Hassan. Wananchi Jijini Dodoma wameiomba Serikali kutilia mkazo suala la baadhi ya watu kuvuta sigara hadharani kwani suala hilo limekuwa na madhara makubwa kiafya. Wakizungumza na kituo hiki baadhi ya wakazi hao wamesema kuwa kutokana na baadhi ya watumiaji…
5 April 2022, 13:27
Na; Shani Nicolous. Watu wenye ulemavu wametakiwa kuacha kukaa na kuomba misaada badala yake watafute shughuli za kufanya ili wawezeshwe kufanikisha shughuli zao. Wito huo umetolewa na Bw. Stephano Nyange Bobo mkazi wa Nzuguni ambaye ni mlemavu wa viungo…
4 April 2022, 13:28
Na;Victor Chigwada. Serikali katika kuboresha huduma za afya imekuwa na mpango wa kutoa elimu na hamasa ya wananchi kujiunga na bima za afya zitakazo saidia kupatiwa matibabu kwa gharama nafuu Hatahivyo pamoja na wananchi kuhamasika na bima za afya lakini…
1 April 2022, 14:31
Na; Neema Shirima. Wananchi wa mtaa wa Itega kata ya Nkuhungu jijini Dodoma wamelalamikia suala la kuzagaa kwa takataka katika maeneo hayo kutokana na kutokuwepo gari ya kuzoa takataka hizo. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema magari yanayojishughulisha…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-