Dodoma FM
Dodoma FM
18 May 2022, 14:49
Na; Selemani Kodima. Wananchi wa kijiji cha Asanje Wilayani Bahi wamemtaka mwenyekiti wa Kijiji cha Asanje Juma Dobogo kuachia nafasi yake kutokana kushindwa kuwatumikia na kusimamia Miradi ya kijiji . Wakizungumza kwa Nyakati Tofauti katika Mkutano wa Kijiji wananachi hao…
18 May 2022, 14:19
Na;Mindi Joseph. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa polio hauna tiba na unasababisha madhara kiafya ikiwemo kupooza kwa viungo vya mwili. Akizungumza leo jijini Dodoma katika uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya chanjo ya matone dhidi ya…
18 May 2022, 14:02
Na;Mindi Joseph. Shirika la utafiti wa viwanda limefanya utafiti wa matumizi ya Mkaa wa makaa ya mawe utakaotumika nyumbani ili kusaidia kupunguza utowekaji wa misitu. Taswira ya habari imezungumza na Mtafiti kutoka shirika la utafiti na maendeleo ya viwanda Tazania…
17 May 2022, 14:34
Na;Mindi Joseph. Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Hussein Bashe ameitaka Menejimenti ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kujenga mfumo imara wa kusimamia Skimu za Umwagiliaji nchini. Akizungumza Jijini Dodoma katika katika kikao kazi cha Menejimenti na Wakandarasi amesema kipaumbele cha Wizara…
17 May 2022, 14:11
Na;Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa Shinikizo la juu la damu pamoja na kisukari ni vyanzo vya figo kushingwa kufanya kazi na kusababisha kusambaa kwa sumu mwilini endapo mgonjwa asipopata matibabu kwa wakati. Akizungumza na kituo hiki Daktari bingwa wa Magonjwa ya…
17 May 2022, 13:32
Na ;Benard Filbert. Ikiwa leo ni maadhimisho siku ya shinikizo la damu jamii imetakiwa kujitokeza kupima shinikizo hilo ili kuepusha athari zinazoweza kujitokeza baadaye. Hayo yameelezwa na daktari Flora Mwakalabo kutoka kituo cha afya makole wakati akizungumza na taswira ya…
17 May 2022, 11:24
Na; Mindi Joseph. Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe ameitaka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kuainisha maeneo yanayofaa kwa umwagiliaji ambayo ni hekari milioni 29 . Akizungumza katika uzindua Bodi ya Wakurugenzi jijini Dodoma Waziri Bashe ameitaka bodi hiyo kuziweka…
11 May 2022, 14:45
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Belege Wilayani Mpwapwa wameishukuru Serikali ya awamu ya tano pamoja na awamu ya sita kwa jitihada za kuboresha sekta ya elimu Akizungumza na taswira ya habari Diwani wa Kata hiyo kwa niaba ya…
11 May 2022, 14:34
Na; Selemani Kodima. Wizara na Taasisi zinazohusiana na masuala ya lishe nchini zimetakiwa kushirikiana na kubadilishana uzoefu katika mapambano dhidi ya Utapiamlo kuhakikisha jamii na Taifa linakuwa salama. Akizungumza katika mafunzo ya kujenga uelewa kuhusu Mpango wa Pili Jumuishi wa…
11 May 2022, 14:02
Na;Mindi Joseph. Imeelezwa kuwa asilimia kubwa ya wasichana hawaripoti vitendo vya ukatili wa kijinsia wanavyofanyiwa kwa kuhofia kudhalilika. Taswira ya habari imezungumza na Mkaguzi wa polisi Christer yasinta Mkuu wa dawati la jinsia na watoto Polisi Mkoa wa Dodoma ambapo…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-