Dodoma FM

Je, ni nani mrithi wa mali za marehemu ikiwa hana ndugu?

25 September 2024, 8:27 pm

Na Leonald Mwacha.

Wengi wetu tumeshuhudia ndugu wa wakirithi mali za marehemu  baada ya utaratibu wa mirathi kufanyika. Je uliwahi kujiuliza ni nani anaweza kurithi mali za marehemu ikiwa hana ndugu?

Lydia Mnete Wakili Kutoka Alex Law Advocate

Fuatilia mahojiano baina ya Leonard Mwacha na Lydia Mnete wakili Kutoka Alex Law Advocate ambapo anaeleza nini hasa kinatakiwa kufanyika katika suala hilo.

Mahojiano baina Leonald Mwacha Lydia Mnete Wakili
Leonald Mwacha mwandishi wa habari toka Dodoma TV