sheria
15 May 2026, 11:49 pm
Madiwani Bunda DC walia na ubovu wa barabara
Licha ya TARURA kufanya kazi kubwa ya ujenzi wa barabara katika wilaya hiyo, baadhi ya barabara zimeharibika kutokana na mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni, hali inayohitaji hatua za haraka za matengenezo ili kurejesha huduma ya usafiri kwa wananchi. Na Mariam…
18 April 2026, 5:39 pm
Babati TC yaipongeza Deira School kwa kuongoza ufaulu 2025
Mgeni rasmi wa hafla hiyo alikuwa ni Kaim afisa elimu mkoa wa Manyara ambae ni afisa elimu taaluma mkoa wa Manyara Allan Said, amezipongeza shule ambazo zimefanya vizuri ikiwemo shule hiyo ya Deira English medium school kwani kwa kukuza kiwango…
16 February 2026, 16:31
Vijiji 80 vyapimwa kupunguza migogoro ya wakulima na wafugaji
Moja ya chanzo kikubwa cha migogoro hiyo ni baadhi ya wafugaji kuhama mara kwa mara wakitafuta malisho. Na Kitana Hamis. Waziri wa kilimo Daniel Chongolo amesema bado kuna changamoto ya migogoro kati ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Handeni…
20 November 2025, 13:38
Serikali yatakiwa kuingilia kati mgogoro wa Ardhi Bwawani
Mwenyekiti amewataka wananchi, pindi linapotokea jambo, kukaa pamoja na kufanya maridhiano badala ya kuchukua uamuzi unaoweza kuleta athari kwa wananchi wengine. Na Farashuu Abdallah.Wananchi wa Mtaa wa Bwawani kata ya Mkonze jijini Dodoma wameiomba serikali iwasaidie kutatua mgogoro wa ardhi…
27 October 2025, 15:40
Migogoro ya ardhi na ndoa yavuruga maendeleo Mpwayungu
Wameiomba Serikali kupeleka wataalamu wa masuala ya kijinsia kutoa elimu kwa wanandoa, pamoja na wataalamu wa ardhi, ili kupunguza migogoro ya mara kwa mara. Na Victor Chigwada.Wananchi wa Kijiji cha Mpwayungu, jijini Dodoma, wametakiwa kuachana na migogoro ya ardhi na…
1 October 2025, 16:21
Mikataba ya upangaji izingatiwe kuondoa migogoro
Sheria ya Wenye Nyumba na Wapangaji – Toleo la 2009) ya Tanzania lengo lake ni kuhakikisha uwiano wa haki na wajibu kati ya mwenye nyumba na mpangaji, kuzuia migogoro, na kutoa mfumo wa kisheria wa kutatua mizozo ya upangaji. Picha…
10 October 2024, 19:00
Fahamu chanzo cha migogoro ya ndoa katika jamii
Na Steven Noel . Migogoro imetajwa kuwa ni chanzo kikuu cha kuvunjika kwa mahusiano ya ndoa katika jamii kwa sasa. Bi. Ruth Udamo Afisa Ustawi anayeshughulikia masuala ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa Wilaya ya Mpwpwa anabainisha sababu kadhaa zinazopelekea…
2 October 2024, 20:57
Wananchi Dodoma washauri suluhisho migogoro ya ardhi
Na Nazael Mkude. Wakazi wa mkoa wa Dodoma wametoa maoni yao kuhusu njia za kupunguza migogoro ya ardhi katika jiji la Dodoma. Wakizungumza na Dodoma TV, Wakazi hao wamesema kuwa ili kupunguza migogoro ya ardhi inapaswa viongozi na wananchi kushirikiana…
1 February 2024, 6:31 pm
Wananchi wahimizwa kufuata sheria pindi matukio ya uharifu yanapojitokeza
Imeelezwa kuwa elimu ni nguzo pekee ya wananchi kuweza kutambua sheria ili kufahamu haki na wajibu wao pindi ambapo wanapokuwa na changamoto mbali mbali pamoja na kutoa ushirikiano na vyombo husika katika kufanikisha haki inatendeka pindi ambapo uharifu unapojitokeza Na…
31 January 2024, 10:29 pm
Kyela: Manase mgeni rasmi kilele cha Sheria Kyela
Mkuu wa wilaya ya Kyela Josephine Manase anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya sheria hapo kesho katika viwanja vya mahakama ya wilaya ya Kyela. Na Nsangatii Mwakipesile Kuelekea kelele cha maadhimisho ya siku ya sheria hapa nchini…