Mkoani FM

Watu wenye ulemavu wa akili kulilia marekebisho ya sheria-Kipindi

28 November 2023, 5:32 pm

Picha mtandao

Na Muandishi wetu.

Kuwepo kwa mapungufu katika Sheria ya Adhabu namba 6  Sheria ya Zanzibar ya mwaka 2006 pamoja na marekebisho yake namba 6 ya mwaka 2018 (Penal Act no.6 of 2006 as replaced by Penal Act no. 6 of 2018) kifungu cha 116 kinavyochangia kuongezeka kwa vitendo vya udhalilishaji kwa watu wenye ulemavu wa akili kutokana  na kuwapa dhamana watu ambao watawadhalilisha  watu wenye ulemavu wa akili.