Mkoani FM

Umuhimu wa kupima afya ya uzazi kabla ya ndoa-Kipindi

10 October 2023, 5:12 pm

Amina Masoud

Suala la kujiuliza je, ndoa inashabihianaje na afya, ndoa ni makubaliano ya hiari kati ya mwanamke na mwanamme.

Kila anayeingia katika ndoa anahitaji kupata tulizo la moyo wake na hapa wahenga walisemaa tulizo la moyo ni kupata mke bora au mume lakini zaidi wakasema ni kupata kizazi. Je, kabla ya kupata hao watoto bora ni njia gani tunatakiwa kuzitumia kabla ya kuingia katika ndoa na ni vipimo gani tunashauriwa kupima? Ongezana nasi kwenye kipindi hiki ili kupata majibu ya maswali hayo.

Kipindi umuhimu wa kupima afya ya uzazi kabla ya ndoa.