Recent posts
16 December 2024, 2:16 pm
Wanahabari Pemba waaswa kusoma sheria zao
Licha ya uwepo wa uhuru wa habari duniani lakini bado sheria za habari zinazotumika Zanzibar zinaonekana kubana wanahabari katika kutekeleza majukumu yao. Na Khadija Ali. Waandishi wa habari kisiwani Pemba wametakiwa kuzisoma na kuzifahamu Sheria za habari lengo kujua mapungufu…
30 November 2024, 12:23 pm
Umuhimu wa madawati ya jinsi kwenye vyombo vya habari
Kuwepo kwa madawati ya jinsi kwenye vyombo vya habari vinasaidia kuondoa changamoto nyingi za kijinsia ambazo zinaweza kujitokeza. Mwandishi wetu analiangalia hilo kwa kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali, na hiii hapa taaarifa yake.
30 November 2024, 11:54 am
Wakulima Pemba watakiwa kulima kilimo hai
Wakulima kisiwani Pemba wameshauriwa kujikita kwenye kilimo hai kwani ni rahisi na kinasaidia kuondokana na umasikini na kuleta mafanikio kiuchumi Wakizunguma na Mkoani FM, wakulima Bi Salama Omar na Zainab Rajab wamesema kilimo hicho mali ghafi zake ni rahisi ukilinganisha…
30 November 2024, 9:04 am
‘Uandishi wa habari si kikwazo kwa serikali’
Makala fupi kuhusu umuhimu wa mwandishi wa habari kupata uhuru wa kutekeleza majukumu yake.
30 November 2024, 8:29 am
Makoongwe Pemba walia kukosa maji safi na salama zaidi miaka minne
Ukosefu wa maji safi na salama katika kisiwa cha Makoongwe hasa vijiji vya Kinyasini na Kizambarauni ni changamoto inayozorotesha shughuli zao za kiuchumi Wakizungumza na Mkoani FM Saumu Abas Mohd Ali na Rukia Omar wamesema ni mwaka wa nne sasa…
29 November 2024, 3:31 pm
Madhira ya wanahabari wanawake Pemba
Simulizi hii inaelezea mambo mazito wanayokumbana nayo waandishi wa habari wanawake wakati wa kutekeleza majukumu yao kutoka kwa watu mashuhuri mfano maneno machafu na dharau hali inayopelekea baadhi yao kuona uandishi wa habari si kazi rafiki kwa wanawake.
26 May 2024, 9:42 pm
Panza wanufaika na uhifadhi wa eneo la bahari
Iwapo wanawake watapewa nafasi katika uhifadhi wa mazingira ya bahari wanaweza kua mabalozi wazuri kwa kuwalea vijana na kuwapa elimu ya uhifadhi wa mazingira hayo. Na Khatib Nahoda Jamii nchini imetakiwa kuwashirikisha wanawake katika shughuli za uchumi wa buluu Ili…
25 May 2024, 6:39 am
Pemba kusogezewa mahakama ya rufaa
Jaji mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan amesema mahakama kuu ya Tanzania imedhamiria kujenga kituo jumuishi kisiwani Pemba ili kukidhi haja na matakwa ya wananchi kisiwani humo. Ameyasema hayo mara baada ya utiaji wa Saini mkataba wa ujenzi kati ya mahakama…
21 May 2024, 4:08 pm
Wenye ulemavu Pemba waomba kupatiwa fursa za kimichezo
Jamii nchini imetakiwa kutoa ushrikiano katika kuwaunga mkono wanawake wenye ulemavu kwenye sekta ya michezo ili kuibua fursa zilizopo katika michezo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wanawake hao wanaojishughulisha na harakati za michezo wilaya ya Mkoani Bi. Fatma Mohd kutoka shehia…