Mkoani FM

Kijiji cha Andikoni Pemba chalilia kukosa barabara toka mapinduzi ya  Zanzibar

10 December 2023, 5:28 pm

Picha, Fatma Rashid

kijiji cha Andikoni ni moja ya kijiji ambacho kinapatikana katika wilaya ya mkoani, kijiji hicho ni miongoni mwa kijiji kilichokosa miundombini ya barabara kwa muda mrefu sasa na wakaazi wake kulilia changamoto hiyo na kuiomba serikalia kuwaonea huruma na kuwatengenezea barabra ili wapunguze changamoto kubwa inayowakumba hasa wajawazito ambao wanatakiwa kupelekwa hospitali kwa haraka sambamba na kupunguza kuharibika kwa mazao yao wanayovuna kwa menine mengi sikiliza kipindi maalum kinavyoelezea kadhia hizo.