Dodoma FM
Dodoma FM
29/01/2026, 13:34
Picha ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , Bungeni jijini Dodoma. Picha na Wizara ya Afya. Waziri Mkuu amesisitiza kuwa serikali itaendelea kuboresha na kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote,…
28/01/2026, 14:47
Picha ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi na baadhi ya wazee wakipanda miti. Picha na Mariam Matundu. Zoezi la upandaji Miti mbele ya Ofisi ya Waziri Mtumba Jijini Dodoma limehusisha…
28/01/2026, 14:10
Hata hivyo, amebainisha kuwa Serikali itaendelea kuhamasisha maadili ya uwajibikaji wa kifamilia na kuimarisha mifumo ya kijamii inayosaidia ustawi wa wazee nchini. Na Mariam Matundu. Serikali imesema haina haja ya kuweka sharti la kisheria linalowalazimisha watoto kuwahudumia wazazi wao wasiojiweza,…
28/01/2026, 13:10
Malecha amehitimisha kwa kusema kuwa ili kukabiliana na vitendo vya rushwa TAKUKURU imeendelea kutoa elimu kupitia vyombo vya habari na kutoa elimu shuleni kuanzia ngazi ya msingi hadi vyuo vikuu , huku akitoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na TAKUKURU…
28/01/2026, 12:38
Picha ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Dodoma, Sakina Mbugi akipanda mti katika shule ya msingi Mbwanga, jijini Dodoma. Picha na Lilian Leopold. Zoezi la upandaji wa miti limefanyika katika maeneo mbalimbali ya jiji ikiwemo shuleni, taasisi za umma na…
27/01/2026, 18:32
Maadhimisho ya miaka ishirini yatafanyika mwezi wa 4,2026 , ambapo watashirikisha wadau waliokuwa wakifanya kazi pamoja na kuwapa elimu wanafunzi na wakulima kuhusu mfumo huo. Na Mariam Kasawa.Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Dennis Londo, amesema kuwa ujio mpya…
27/01/2026, 17:36
Mariam Matundu amezungumza na vijana ili kufahamu uhuru wao katika kuzungumzia masuala ya uzazi wa mpango. Na Mariam Matundu. Leo katika Sanuka tunaangazia uhuru wa kuzungumzia masuala ya uzazi wa mpango hususan kwa vijana .
27/01/2026, 17:16
Aidha, ilielezwa kuwa eneo la Engusero Andare lilitengwa mahsusi kwa ajili ya jamii ya Wandorobo, ambao maisha yao yanategemea zaidi shughuli za asili ikiwemo uvunaji wa asali kama chakula chao kikuu. Na Kitana Hamis. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mheshimiwa…
27/01/2026, 16:49
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wamepata nafasi ya kutoa maoni na mapendekezo yao kuhusu bajeti hiyo, wakisisitiza umuhimu wa kuzingatia maslahi ya watumishi pamoja na kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani ili halmashauri iweze kutekeleza mipango yake kwa ufanisi. Na…
26/01/2026, 17:26
Awamu ya mwisho ya mradi huo ilitamatika tangu mwezi Septemba mwaka jana hivyo wanasubiri awamu nyingine kama watapata fursa ya kusajili kundi lingine la wazee wasiojiweza. Na Victor Chigwada. Kutokana na ugumu wa maisha unaowakabili wazee wa kijiji cha Msanga,…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-