Recent posts
21 October 2024, 7:35 pm
Madini yapata vitendea kazi kudhibiti upotevu
Na Mariam Kasawa. Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amezindua magari mapya 25 yalilyotolewa na serikali kama vitendea kazi ili kutimiza lengo la makusanyo ya mapato na udhibiti wa utoroshaji wa madini. Akizungumza kwenye uzinduzi huo, octoba 21 Mhe. Mavunde…
21 October 2024, 7:34 pm
Uthubutu kikwazo vijana kuwania nafasi za uongozi
Na Anwary Shabani. Uthubutu na hofu vimetajwa kuwa kikwazo kwa vijana kuwania nafasi za uongozi kuanzia ngazi za serikali za mtaa. Jofrey Regnand Mtasiwa kutoka katika tasisi ya Kijana Foundation jijini Dodoma amebainisha kuwepo kwa hofu na kutokuthubutu miongoni…
18 October 2024, 8:05 pm
NIMR yatafiti mikakati ya chanjo ya Uviko-19
Na Yussuph Hassan. Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii ESRF kwa kushirikiana na taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu NIMR zimefanya utafiti wa kutathmini mikakati ya kuongeza upataji chanjo ya Uviko-19 nchini. Akizungumza jijini Dodoma katika kongamano la…
18 October 2024, 8:05 pm
Malima awataka walio jiandikisha kujitokeza kupiga kura Nov. 27
Na Noel Steven. Mbunge wa Jimbo la Mpwapwa Mhe. George Nathan Malima amewataka wananchi wa jimbo hilo kujitokeza siku ya kupiga kura Nobemba 27. Mhe. George Nathan Malima Ameyasema hayo wakati alipomaliza zoezi la kujiandikisha katika kituo cha Chamnye…
18 October 2024, 8:04 pm
Vitongoji 150 kupata umeme wa REA Dodoma
Na Mariam Matundu. Vitongoji mia moja na hamsini katika mkoa wa Dodoma vinatarajia kufikishiwa umeme wa REA kupitia mpango wa vijiji kumi na tano kila jimbo. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ameyasema hayo Oct. 18, 2024 wakati wa…
18 October 2024, 8:04 pm
TANZIA: PCMA wamlilia Askofu Mondeya
Na Nazael Mkude. Wachungaji na waamini wa kanisa la PCMA Mkoani Dodoma wamepokea kwa masikitiko kifo cha Askofu Mkuu Dr. Mondea Kabeho Katibu Mkuu wa Kanisa la hilo Patrick Kajila anaelezea jinsi msiba huo ulivyotokea wakati wa ibada ya kuwafariji…
17 October 2024, 8:01 pm
Wananchi wataharuki tukio la mtu kujinyonga Dodoma
Na Nazael Mkude. Wakazi wa Mtaa wa Mathias Kata ya Miyuji Mkoani Dodoma wamepatwa na taharuki baada ya tukio la mtu mmoja kujingonga katika mtaa huo . Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Balaozi Shina Namba 5 wa Mtaa wa Mathias…
17 October 2024, 8:01 pm
Watu wenye ulemavu ni chachu ya maendeleo jumuishi
Na Mariam Matundu. Katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa nov. 27 kundi la watu wenye ulemavu limetajwa kuwa ni kundi muhimu kushiriki katika mchakato huu kwa kupiga kura na kugombea nafasi zilizopo ili kuchochea maendeleo yenye ujumuishi. Afisa maendeleo…
17 October 2024, 8:01 pm
Zijue athari za malezi ya upande mmoja
Na Anwary Shabani Malezi ya upande mmoja yametajwa kuwa ni changamto kwa makuzi ya mtoto. Kwa nyakati tofauti, wananchi Jijini Dodoma wamesema kuwa zipo changamoto nyingi zinamkabili mtoto anayepata malezi ya upande mmoja ikiwemo suala la elimu. Aidha wananchi hao…
17 October 2024, 8:01 pm
Sodo yadhibiti utoro kwa wasichana Vighawe Sekondari
Hali ya utoro kwa wanafunzi wa kike katika shule sekondari Vighawe umepungua kwa kiwango kikubwa baada ya kanzisha maradi wa ushonaji sodo. Mradi huo unaofadhiliwa na shirika la Haki Elimu umeonesha mafanikio makubwa kwani unawafanya wasichana kuweza kuhudhuria shuleni…