Dodoma FM

Recent posts

5 November 2024, 5:58 pm

Fahamu faida za hifadhi hai za Tanzania

Na Fred Cheti.                                          Nevomba 3 ya kila mwaka dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya hifadhi hai duniani ambapo kuna hifadhi hai zipatazo 748 huku Tanzania ikiwa na jumla ya hifadhi hai 6. Bwn. Novatusi Moshi ni Afisa Mazingira mwandamizi kutoka…

5 November 2024, 5:57 pm

DOWOSA yawaelekeza wanawake ujasiriamali

Na. Anselima Komba Chama cha Akiba na Mikopo cha Wanawake wa Dodoma (Dodoma Women Saccos Limited) kimejizatiti kuwakwamua wanawake kiuchumi kwa kuwapatia elimu ya ujasiriamali. Mhe. Mbonipaye Mpango Mke wa Makamu wa Rais amebainisha hayo wakati wa mkutano mkuu wa…

5 November 2024, 5:57 pm

Wajumbe CCM Ndachi wachachamaa hatma ya mgombea

Na Nazael Mkude. Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi wa Mtaa wa Ndachi Kata ya Mnadani Mkoani Dodoma  wamepata na sintofahamu kutokana na suala la hatma ya mgombea baada ya kura za maoni. Wajumbe wamepatwa  na  sintofahamu hiyo baada ya mgombea…

5 November 2024, 5:57 pm

Wachimbaji wadogo wa madini kuachana na matumizi zebaki

Na Mariam Kasawa. Wachimbaji wadogo wa madini nchini wametakiwa kuachana na matumizi ya kemikali ya zebaki (Mercury) na kutumia teknolojia mbadala kwenye uchenjuaji wa dhahabu ili kulinda afya ya binadamu na Mazingira. Dkt. Immaculate Sware Semesi Mkurugenzi Mkuu NEMC  akiwa…

4 November 2024, 7:35 pm

Zifahamu sifa za Chifu Biringi

Na Yusuph Hassan. Kila chifu katika himaya yake alikuwa na sifa za kipekee amabazo zilimtofautisha na chifu mwingine. Chifu Biringi alikuwa na sifa za kipekee kwa jinsi alivyoiongoza jamiiyake kuhakikisha kiwa jamii inakuwa salama Pamoja na kulinda mil ana desturi…

4 November 2024, 7:34 pm

Waliompiga Ismail Wabu wako wapi?

Na Steven Noel. Bwn. Ismail Wabu kwa Afisa Afya wa Wilaya ya Mpwapwa anayeishi Mtaa wa Hazina Mkwatani Wilayani Mpwapwa yupo kitandani kwa zaidi ya miezi mitatu akiwa amepooza kutokana na kupigwa na wananchi akiwa katika majukumu yake ya kikazi.…

4 November 2024, 7:34 pm

Maboresho zaidi yahitajika soko la Maputo Dodoma

Na Mariam Kasawa. Wafanyabiashara wa soko jipya la Maputo Jijini Dodoma wameiomba serikali  kuwaboreshea mazingira ya soko hilo. Wafanya biashara hao wamesema licha ya soko hilo  kuboreshwa kwa kuwekwa maeneo vizuri tofauti na awali bado wanahitaji huduma ziboreshwe sokoni hapo…

4 November 2024, 7:34 pm

10 wanusurika ajali ya gari Dodoma

Na Lilian Leopord. Hali za majeruhi 10 ambao wamenusurika katika ajali iliyotokea Novemba 3 katika Kata ya Makulu jijini Dodoma na kupatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma imeendelea kuimarika. Afisa Uhusiano na Mawasiliano katika hospitali ya…

1 November 2024, 7:11 pm

Sintofahamu yagubika kura za maoni Mtube Dodoma

Na Nazael Mkude. Sintofahamu imeibuka kwa wajumbe wa CCM wa mtaaa wa Matube Kata ya Nkuhungu jijini Dododma baada ya mgombea kutotangazwa jina lake baada ya mchakato wa kura za maoni kukamilika. Wajumbe wa CCM kutoka mtaa huo wamefika katika…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger