Recent posts
12 November 2024, 10:22 am
Zifahamu athari za kunyanyapaa mtoto yatima
Na Leonard Mwacha Dunia inaadhimisha siku ya mtoto yatima huku ikilenga kuangazia mahitaji yao ya muhimu na makuzi yasiyo ya kibaguzi. Mwandishi wetu Leonard Mwacha amezungumza na mwanasaikolojia na mshauri nasihi Peter Njau, kuhusu namna bora ya kuishi na mtoto…
12 November 2024, 10:22 am
Mbegu za asili zinavyohimili changamoto mabadiliko tabianchi
Na Mindi Joseph. Licha ya kuwa zipo katika hatari ya kupotea, mbegu za asili zimetajwa kuwa bora katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Afisa uwezeshaji kutoka katika Shirika la Pelamu Anna Malwa amesema mbegu za asili zina virutubisho vingi…
8 November 2024, 7:15 pm
Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege yajimarisha kiulinzi
N Mindi Joseph. Ujenzi wa uzio katika shule ya sekondari kiwanja cha ndege Dodoma umetajwa kuwalinda wanafunzi dhidi ya utoro pamoja na changamoto mbalimbali. Mkuu wa shule hiyo Mwl. Daniel Mpagama anaelezea hali ya usalama hali ilivyokuwa kabla ya ujenzi…
8 November 2024, 7:15 pm
Viongozi wa dini wajadili maendeleo ya jamii na uchumi
Na Mariam Matundu Viongozi wa dini nchini wamekutana mkoani Dar es Salaam kujadili juhudi za taasisi zao katika kuleta maendeleo ya jamii na uchumi wa nchi, huku kauli mbiu ya mkutano huo ikiwa ”Dini mbalimbali sasa na baadae’. Mratibu wa…
8 November 2024, 7:15 pm
Hospitali ya Rufaa Dodoma yajipanga kupambana na utapiamlo
Na Mindi Joseph Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma General imejipanga kupunguza adha inayoikabili jamii katika masuala ya Afya, kwa kuendelea kutoa Matibabu lishe kwa Watoto wenye utapiamlo mkali. Hii inayojumuisha chakula dawa na kuwaandalia sehemu ya michezo kwa…
8 November 2024, 7:14 pm
TCRA yadhibiti utapeli mtandao
Na Anwary Shabani Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA kanda ya kati imedhibiti uhalifu wa mitandao kwa kiwango kikubwa kupitia Kampeni ya Ni Rahisi Sana. Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA kanda ya kati Mhandisi Asajile John amesema kuwa kampeni…
7 November 2024, 5:55 pm
Serikali yawezesha RUWASA usafiri kufuatilia miradi
Na Steven Noel. Serikali imeipatia gari RUWASA wilaya ya Mpwapwa ili kuongeza ufanisi katika kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maji. Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini RUWASA mkoa wa Dodoma Mwandisi Mbaraka Ally amezungumzia umuhimu wa chombo hicho cha usafiri…
7 November 2024, 5:55 pm
Jitihada zaidi zahitajika kuteketeza taka za kieletroniki
Na Mariam Kasawa. Takribani tani 33, 000 za taka za kieletroniki huzalishwa nchini kwa mwaka na asilimia 3% tu ya taka hizo hukusanywa na kurejereshwa na kiwango kikubwa cha taka hubaki na kuzagaa katika mazingira. Bi Lilian Lukambuzi Mkurugenzi wa…
7 November 2024, 5:54 pm
TCRA yatoa somo kwa waandishi wa habari masuala ya uchaguzi
Na Anwary Shabani. Mamalaka ya Mawasiliani Tanzania TCRA imewataka waandishi wa habari kuzingatia kanuni za utangazaji katika kuripoti na kutangaza masuala ya chaguzi zijazo. Meneja wa huduma za utangazaji TCRA Mhandisi Andrew Kisaka amesema hayo katika mafunzo kwa waandishi wa…
6 November 2024, 5:53 pm
Msimu wa kilimo wazinduliwa Singida
Na. Anselima Komba Wakulima Mkoani Singida wametakiwa kujiandikisha katika daftari la ruzuku ya mbolea ili kufaamu kawango cha mbolea kinachohitajika katika msimu huu wa kilimo. Hayo yamejiri wakati Mkuu wa Idara maendeleo ya Jamii Francis Mashallo Akizindua Msimu wa Kilimo…