Dodoma FM
Dodoma FM
6 May 2025, 17:29
Hata hivyo serikali ilishatangaza ujauzito isiwe sababu ya mwanafunzi kuacha masomo hivyo kuwaruhusu wanafunzi waliokatiza masomo yao kwa sababu hizo kurejea shuleni. Na Victor Chigwada. Imeelezwa umbali wa kilomita kumi kuifikia sekondari kwa wanafunzi wa kijiji cha Muungano imekuwa sababu…
5 May 2025, 18:32
Siku ya Zimamoto Duniani huadhimishwa kila May 4 ya kila mwaka. Na Kitana Hamis.Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkoa wa Manyara Gilbert Mvungi,ametoa wito kwa wananchi kutoa taarifa mapema pindi ajali ya moto inapotokea kwakupiga namba ya…
5 May 2025, 18:23
Hayo yamebainishwa katika kikao Cha kujadili Maendeleo ya Shule ya Sekondari Chinangali kilicho fanyika may 3. Na Annuary Shaban.Kata ya Chamwino-Halmashauri ya jiji la Dodoma, imeanza mchakato wa ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike kwa nguvu za wananchi na…
5 May 2025, 18:14
Wakazi wa kijiji hicho wameiomba serikali iwasaidie ujenzi wa bweni ili kuwanusuru watoto na vitendo hivyo vya ukatili. Na Kitana Hamis. Suzana Samweli Mwenye umri wa Miaka 13 Mwanafunzi wa Darasa la Sita amefariki Dunia Baada ya kubakwa na Kuuwawa…
30 April 2025, 18:03
Mradi huo umegharimu kiasi cha shilingi milioni 544 laki mbili ishirini na tano mia sita ishirini na sita (544, 225, 600) kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu. Na lilian Leopord. Ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Matumbulu umetajwa kutatua changamoto…
30 April 2025, 17:36
Taswira ya habari imezungumza na mashuhuda pamoja na mwenyekiti wa kijiji hicho juu ya tukio hilo. Na Kitana Hamis. Kijana mmoja aliye Famika kwajina la Mohamed Khamisi mwenye umri wa Miaka 22 Mkazi wa Ndirigishi Wilayani Kiteto Mkoani Manyara amemuuwa…
29 April 2025, 18:15
licha ya kuwa bado tuko mwezi wa nne lakini tayari baadhi ya familia zimeanza kulala na njaa Na Victor Chigwada. Wakazi wa Kijiji Cha Mlodaa Kata ya Mlowa barabarani Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuingilia kati ili kupunguza ongezeko la…
25 April 2025, 17:59
Kwa upande wao washiriki wa mdahalo huo wameeleza matumaini yao katika kukuza uchumi kupitia kilimo Shindani. Na Alfred Bulahya.Serikali imewahakikishia watanzania kuwa mashamba ya vijana wa mradi wa jenga kesho iliyo bora BBT yanafanya vizuri na kwamba vijana 12 ndio…
25 April 2025, 17:36
Hata hivyo ametoa wito Kwa wananchi wote wa Dodoma na maeneo jirani kujitokeza Kwa wingi na uzalendo kushiriki katika tukio hilo la kihistoria. Na Alfred Bulahya.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Benki ya…
24 April 2025, 17:56
Watumishi watakaoshindwa kufikia kiwango hicho hawatapandishwa vyeo wala kuongezewa mishahara. Na Mariam Kasawa Serikali imetangaza mkakati wa kuwachukulia hatua kali watumishi wa umma wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo, ikiwemo kutowapandisha madaraja wala kuongeza mishahara yao. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi,…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-