Dodoma FM

Recent posts

24 June 2025, 12:36

UDOSO yazindua mfuko maalum ufadhili wa masomo

Katika safari ya kutafuta elimu bora, bado kuna kundi la vijana ambao hupambana na changamoto za kiuchumi. Na Mariam Kasawa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOSO)  imezindua mfuko maalum wa kuwasaidia wanafunzi wanaoshindwa kumudu gharama za masomo.…

19 June 2025, 16:55

Soko la Kariakoo ni mchango mkubwa kwa uchumi wa taifa

Jumla ya wafanyabiashara 30 wa kariakoo ambao ni washindi wa Tuzo za kariakoo wamewasili leo Jijini Dodoma baada ya kupokea mwaliko wa kushiriki vikao vya bunge na watatembelea Miradi mbalimbali katika Jiji la  Dodoma. Na Seleman Kodima. Wafayabiashara wa Soko…

19 June 2025, 12:36

UDOM yawapongeza washindi wa Huawei ICT global competition 2025

Zoezi hilo lilienda sambamba na utoaji wa Vyeti kwa wanafunzi waliofanya Vizuri katika mashidano hayo. Na Mariam Kasawa. Uongozi wa Chuo kikuu cha Dodoma UDOM umewapongeza wanafunzi waliofanya Vizuri katika Mashindano ya Huawei ICT Global  Competition 2025 yaliyofanyika nchini China…

17 June 2025, 15:28

Serikali yaahidi kuendelea kutumia tafiti za vyuo vikuu

Kongamano lapili la sayansi ya Afya chuo kikuu cha Dodoma linafanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa jiji Mtumba ambapo kaulimbiu ya mwaka huu inasema Evidence based practise and innovation in addres heaith challenges. Na Mariam Kasawa. Serikali kupitia wizara…

10 June 2025, 15:55

Hospitali ya wilaya yaleta ahueni kwa wakazi wa Mlowa

Wakazi hao wameishukuru Serikali kwa kukamilisha hospitali hiyo ya Wilaya kwani imewapunguzia gharama za kusafiri kwenda hospitali zingine. Na Victor Chigwada. Ujenzi wa hospitali mpya ya Wilaya ya Chamwino katika Kata ya Mlowa barabarani umetajwa kuongeza tija kwa wananchi na…

10 June 2025, 14:56

Vijana Mlebe watakiwa kuchangamkia fursa mikopo ya 10%

Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kijiji cha Mlebe hakuna vikundi vya vijana katika kijiji chake zaidi ya kikundi kimoja cha akina mama ambacho ndicho kipo hai mpaka sasa. Na Victor Chigwada. Vijana wa Kijiji cha Mlebe wametakiwa kuchangamkia fursa za…

10 June 2025, 13:44

Mwongozo wa serikali wahitajika waliopata ujauzito kurejea shuleni

Licha ya serikali kuruhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kipindi cha masomo kurejea Shule Lakini bado kumekuwa na changamoto lukuki. Na Kitana Hamis. Wadau wa Elimu  wataka Mongozo wa Serikali kwa Wanafunzi wa Kike walio Pata Ujauzito kurejea Shule ili watimize ndoto…

5 June 2025, 16:49

Serikali yatoa bilioni 51 ukarabati wa miradi ya maendeleo Zanka

Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Samia Day yaliyofanyika katika Wilaya ya Bahi, Kata yaZanka, Mhe. Kasper amesema fedha hizo zimeboresha miradi mbalimbali ikiwemo ya elimu na afya. Na Anwary  Shaban .   Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kasper Mmuya amesema…

5 June 2025, 16:02

Wananchi Makang’wa waendelea kupatiwa elimu ya urasimishaji

Zoezi la urasimishaji imekuwa ni mikakati ya Serikali kuhakikisha Kila mwananchi anamiliki ardhi yake kihalali Kwa kupewa hati ya umiliki wa ardhi za mashamba Yao. Na Victor Chigwada.                                              Imeelezwa kuwa elimu ya urasimishaji wa ardhi imeendelea kutolewa Kwa wananchi wa…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger