Dodoma FM
Dodoma FM
9 July 2025, 15:29
Lengo kuu La mkopo wa asilimia 10 kutoka halmashauri ni kuwezesha vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kiuchumi kwakuwapatia mkopo wenye masharti nafuu ili kupunguza umaskini na kukuza ajira. Na Lilian Leopold. Wananchi kata ya Mpunguzi jijini Dodoma…
9 July 2025, 14:50
Aidha wamewaomba wadau mbalimbali kujitokeza ili kuwasaidia kuboresha miundombinu ya shule hiyo. Na Steven Noel.Wananchi wa kijiji cha Idilo wilayani Mpwapwa wamejadili changamoto zinazo wakabili wanafunzi wawapo shule katika eneo hilo. wakiongea katika mkutano wa hadhara wazazi hao wamesema wanafunzi…
3 July 2025, 16:32
Katika kuhitimisha ziara yake Wilayani Kondoa, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wananchi kuhakikisha wanashiriki katika Uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa kupiga kura. Na Seleman Kodima.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ameutaka uongozi wa wakala wa…
3 July 2025, 15:47
Katika kufahamu suala hili, Selemani Kodima mapema alifika hadi Wilaya ya Kondoa na kutuandalia taarifa ifutayo. Na Seleman Kodima.Katika mwaka 2025, hali ya mimba za utotoni imeendelea kuwa changamoto kubwa duniani, hususan katika nchi zinazoendelea, lakini pia kuna maendeleo yanayoleta…
2 July 2025, 10:21
Jitihada za kumwokoa hazikufanikiwa. Na Kitana Hamis.Kijana mmoja aitwaye Fredy Peter, mkazi wa Kijiji cha Seleto, Dareda Misheni, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na kundi la fisi . Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo,…
27 June 2025, 10:11
Ni muhimu kutambua kundi la watu wenye ulemavu wa uziwikutoona. Na Mariam Kasawa. Imeelezwa kuwa licha ya Tanzania, kama zilivyo nchi nyingine duniani, kuwa na kundi la Watu wenye Ulemavu ambalo, licha ya kuwa kundi dogo kwa idadi ya watu…
25 June 2025, 15:46
Mwezi juni kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya kupiga vita dawa za kulevya ambapo maadhimisho hayo hufanyika kwa siku tatu mfululizo kuanzia june 24 ,25 na 26 Na Anwary Shaban. Katika kuadhimisha siku ya kupiga vita dawa za kulevya duniani…
25 June 2025, 10:54
Katika jamii nyingi, mila na desturi huwakosesha wanawake fursa ya kushiriki katika mchakato wa maamuzi iwe katika familia, kijiji au hata kwenye taasisi za kisiasa. Karibu msikilizaji wa makala ya Amua inayoandaliwa na kutangazwa na Dodoma FM. Makala hii inakujia…
24 June 2025, 12:36
Katika safari ya kutafuta elimu bora, bado kuna kundi la vijana ambao hupambana na changamoto za kiuchumi. Na Mariam Kasawa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOSO) imezindua mfuko maalum wa kuwasaidia wanafunzi wanaoshindwa kumudu gharama za masomo.…
19 June 2025, 16:55
Jumla ya wafanyabiashara 30 wa kariakoo ambao ni washindi wa Tuzo za kariakoo wamewasili leo Jijini Dodoma baada ya kupokea mwaliko wa kushiriki vikao vya bunge na watatembelea Miradi mbalimbali katika Jiji la Dodoma. Na Seleman Kodima. Wafayabiashara wa Soko…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-