Dodoma FM

Recent posts

31 July 2025, 12:25

Mwanafunzi ajeruhiwa na pikipiki katika sherehe za harusi

Tukio hili limeibua maswali na mijadala mikali miongoni mwa wakazi wa mtaa huo, wakilalamikia ukosefu wa udhibiti wa vyombo vya usafiri katika maeneo ya makazi na hasa wakati wa shughuli za kijamii au sherehe. Na Joseph Gontako Katika tukio la…

30 July 2025, 13:20

Manda, Ilangali watembea umbali mrefu kusaka mtandao

UCSAF imeweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha wananchi waishio vijijini wanapata huduma bora za mawasiliano. Na Victor Chigwada.Ikiwa Sera ya Mawasiliano inabainisha kuwa wananchi wote wanapata huduma bora, salama, na nafuu za mawasiliano bila ubaguz,Hali ni tofauti kwa Wakazi wa vijiji…

30 July 2025, 12:57

Wajibu, Policy forum wazindua ripoti ya uwajibikaji

Ikumbukwe kuwa Ripoti za uwajibikaji zinazotolewa na taasisi ya Wajibu huangazia hoja kuu zilizobainishwa na CAG, kama matumizi mabaya ya fedha, miradi iliyotelekezwa, au taasisi zilizopata hati mbaya3.Hii husaidia wananchi kuelewa maeneo yenye changamoto na kuhoji uwajibikaji wa viongozi wa…

30 July 2025, 11:18

Boresha maisha ya vijana wasaidia kubadili mitazamo ya vijana

Mradi huu wa Boresha Maisha yaVijana tayari umefika katika mikoa Takribani mine na tayari umegusa maisha ya vijana 40, 000 hapa nchini. Na Mriam Kasawa. Uongezaji wa thamani katika mazao ni moja ya njia zinazo tajwa kuwanufaisha vijana jijini Dodoma…

24 July 2025, 17:08

UWT Mpwapwa yapitisha majina tisa wagombea viti maalum

wagombea hao wametakiwa kufuata kanuni Sheria na taratibu za uchaguzi. Na Steven Noel. Wanachama 46 wa umoja wawanawake  ccm Tanzania  UWT. Wilaya ya Mpwapwa wapitisha majina tisa ya waliowania udiwani viti maluum Katika mchakato uliofanyika Katika viwanja vya ofisi za…

24 July 2025, 16:18

Hospitali ya Mpwapwa yaboresha huduma za maabara

kufuatia ithibati  hiyo watatoa Huduma  bora Kwa wakazi wa mpwapwa na viunga vyake. Na Steven Noel. Uongozi wa hospitali ya wilaya ya Mpwapwa imeboresha Huduma za kimaabara  kufuatia kupatia kupatiwa ithibati  na wizara  ya Afya  na kuanza kutoa Huduma ambazo…

22 July 2025, 15:55

Wafanyabiashara wa chakula watakiwa kuzingatia usafi

Afisa Afya Shadrack Geofrey ametoa wito kwa viongozi wa mitaa Dodoma kuwa na utaratibu wa kutembelea maeneo ya biashara ya chakula ili kujiridhisha juu ya mwenendo wa biashara hiyo kuwa ni safi na salama. Na Farashuu Abdallah. Wafanyabiashara wa Chakula…

22 July 2025, 14:23

Uboreshaji wa zahanati wapunguza vifo Ihumwa

Ikumbukwe kuwa mradi wa ukarabati wa jengo la zahanati ya Ihumwa ulianza tarehe 10 /08/2023, ukigharimu kiasi cha shilingi milioni 235.9  fedha kutoka Shirika la Wahisani ABBOT. Na Lilian Leopord. Uboreshwaji  wa miundimbinu uliofanyika katika zahanati ya Ihumwa iliyopo jijini …

22 July 2025, 13:08

Mitazamo hasi inasababishaje changamoto ya afya ya akili?

Kutokana na hali hiyo, mapema Seleman Kodima alifanya mahojiano na Apolioni Boniphace kutoka Taasisi ya Whole Health Junction na hapa anaeleza zaidi. Na Seleman Kodima.Kwa mujibu wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger